A Special message to single mothers

A Special message to single mothers

Kwa sababu wote humu tumezaa kwenye ndoa,hakuna ndugu wala jamaa ambae ni single mom,wanaume wa humu wote hakuna aliyetelekeza watoto,mimba wala mke yaani kifupi sisi wanajf ni spicishiz tofauti kabisa
Yaani utafikiri hao masingo mazaz wamejizalisha wenyewe. Kumbe mijibaba iliyotundika hizo mimba na kusepa imo humu humu inaponda. Mfumo dume katika ubora wake !!!
 
single mom kwa kutelekezwa,kubakwa,ujane,divorced,tatizo ni mentality iliyojengeka kwetu kuwa single mom ni janga la taifa,kuna mdada humu ni single mom aisee nkipata mda nitamwomba aandike kisha nitaileta watu wapate shamba darasa,kawapita mpaka vidume wanaowadiss single mom,she was just housegirl mpaka sasa anamiliki mali,kibao zinazoworth millions kama si billions
 
Safi sana huyo lazima achukiwe na midume na wamponde
 
Tusaidie Kuwaambia Wanaume Wenzako
A real man will never shy away from his own family responsibilities unless otherwise there is a problem somewhere. IT'S THAT SIMPLE.

acha tu,kaka shangaa nawe
Yaani utafikiri hao masingo mazaz wamejizalisha wenyewe. Kumbe mijibaba iliyotundika hizo mimba na kusepa imo humu humu inaponda. Mfumo dume katika ubora wake !!!

nyie wanaume zetu humu ndo mtakaowabrand hivyo
Hio ni list single parents ???
 
Tusaidie Kuwaambia Wanaume Wenzako

acha tu,kaka shangaa nawe

nyie wanaume zetu humu ndo mtakaowabrand hivyo
Kaa ukijua duniani hata uwe mwema kama malaika watu hawataacha kukusema. Cha muhimu shika sheria za Mungu. Wanadamu waache wapambane na hali zao.
 
single mothers mungu awabariki popote mlipo hakika nyie ndio kimbilio letu sisi madomo zege
 
Back
Top Bottom