A simple breakfast

A simple breakfast

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,350
1553866569629.jpeg


Chemsha yai
Likiiva limenye
Likate vipande vidogo vidogo
Changanya na mayonnaise
Oka mkate na upake mchanganyiko wa yai juu yake

Unaweza kutengeneza sandwich 🥪 ya kuendea kazini au picnic.
 
View attachment 1057160

Chemsha yai
Kikiiva limenye
Likate vipande vidogo vidogo
Changanya na mayonnaise
Oka mkate na upake mchanganyiko wa yai juu yake

Unaweza kutengeneza sandwich ya kuendea kazini au picnic.
Huu msosi nitaanza kula nikishajenga na kumiliki gari sasa hivi ngoja nipambane na dagaa kwanza

CC Zero IQ
 
Back
Top Bottom