Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,053
Hii Huduma mwanzoni ilikua ni bure na kwenye miongizo yao inaonyesha ni Free lakini kuanzia juzi wakala akimtumia wakala mwenzake flot wanakata hela yake ambayo ni mtaji.
Kwa mfano laki moja wanakata elfu moja, sasa huu ni wizi mkubwa na ni utapeli.
Inabidi mshitakiwe kwa huu wizi na kama Hali ikiendelea hivi basi kampuni yenu itakufa.
Inakuaje ukate mtaji wa wakala wakati kwenye sheria yenu haipo?
Vodacom acheni huu upumbavu wa kuibia mawakala wakati hata malipo yenu kwao ni kama wanawanufaisha tu nyinyi lakini hamuliziki mmeamua tena kuwaibia mitaji yao. Mnachokifanya ni zaidi ya upumbavu na ni utapeli.
Kwa upande wangu mwaka jana nilifunga til mbili za mpesa baada ya kuona uchumi umeingiliwa na wanasiasa kwa kupandisha gharama za kutuma pesa na kutoa pesa nikabakiwa na lain moja lakini kama Hali ndo hii mwezi huu naifunga.