A question to the jamiiForums administration

Status
Not open for further replies.

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Every emblem and symbol in an emblem has a meaning and significance.In your your jamiiForums emblem or whatever you might call it, there is a star and half moon similar to that used by the Islamic faith.Please do not misunderstand me,I sincerely just want to know,what does the star and half moon signify?Does JF belong to moslems or the symbol has another meaning altogether.Please clarify.
 
Sikuwa makini kuliona hili.Ok na mimi nasubiri jibu kutoka kwa wahusika
 
Every emblem and symbol in an emblem has a meaning and significance.In your your jamiiForums emblem or whatever you might call it, there is a star and half moon similar to that used by the Islamic faith.Please do not misunderstand me,I sincerely just want to know,what does the star and half moon signify?Does JF belong to moslems or the symbol has another meaning altogether.Please clarify.

Tikerra

What a superb observation...!
 
Kwa mawazo yangu ninafikiri ni katika kusheherekea sikukuu ya Iddi.

Binafsi nili-assume hivyo na kimsingi nilikuwa very impressed, nilikuwa nasubiri wataweka nembo gani wakti wa x-mas ili niwape kudos kwa job well done kwa kuwa "safi"/fair ktk kutambua sikukuu za dini zote mbili kubwa ktk nchi yetu!!

Hata hivyo hongereni sana (CEO na wenzako), kwa kuonyesha heshima za dini zetu (assuming kwamba nipo sahihi).
 
Oooh, thanks to Invisible, kuna siku alisema kuwa anataka kufanya kitu akijua sikukuu ya Eid ni lini, duh sikumwelewa na sikutaka kuuliza....nilifunika kombe mwanaharamu apite.

Then nijaiona ile symbol, nikafurahi, nikajiambia kuwa nitamwandikia Invisible kumshukuru kwa recognition. Nikasahau. Samahani Invisible na shukrani sana. Better late than never, thank you again.
 
Nadhani tusiweke maneno midomoni mwao, ni vema tukasubiri jibu lao.
 
Dont worry ni ya Eid .. its made a difference am happy kwamba hamna ubaguzi Jf everyone is represented equally .. so for Christmass something will be done too .. just sit and watch Mods doing their job . Hongereni sana Mods ...

ila you are very slippery .. kwani nasi tungeuliza why kuna injili pale juu tusiongeze Qasda kwani nasi tunazo na twazitaka .. just a little moon gets you started ... eeeeek guy?
 
Usiwe mwepesi sana wa kudhania mambo,mara nyingi unavyodhani ndivyo inaweza isiwe hivyo.Ni vema tukasubiri "administration" ikatoa jibu,tusiwawekee maneno midomoni mwao.Hata hivyo mimi niliuliza administration ya JF,sikuuliza wana JF wenzangu.
 
Dont worry ni ya Eid .. its made a difference am happy kwamba hamna ubaguzi Jf everyone is represented equally .. so for Christmass something will be done too .. just sit and watch Mods doing their job . Hongereni sana Mods ...

ila you are very slippery .. kwani nasi tungeuliza why kuna injili pale juu tusiongeze Qasda kwani nasi tunazo na twazitaka .. just a little moon gets you started ... eeeeek guy?
Nakwambia...

Zilipowekwa nyimbo za Injili tukaulizwa KWANINI, imefika wakati wa Eid, (3days only na imeshaondolewa labda kwa wale ambao hawaja-clear caches CTRL+Refresh) twaulizwa KWANINI, soon inakuja X-mas na patakuwa na changes soon najua tutaulizwa KWANINI. Lakini taratibu watazoea na kuelewa.

Nashukuru kwa kuwaelewesha Naima!

Hoja inafungwa sasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom