A President is Caught on Camera stealing...

A President is Caught on Camera stealing...

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,379
Reaction score
25,474
Duh!

Rais wa Czech, ndugu Vaclav Klaus(Sina uhakika kama an uhusiano na Santa), amedakwa live kwenye tape akiiba wakati wa mkutano na mwenyeji wake Rais wa Chile ndugu Sebastian Pinera huko...

Hivi kweli kama aliitamani hiyo peni si angeomba tu? Ama awaambie wasaidizi wake wampatie more info ama ama anaweza kupata nyingine ya ziada?

Unless he did it purposely for a show, otherwise peni tu anaiba huyu huko ofisini kwake anafanya nini kuhusu mali za nchi yake?

Hii kali kwa kweli...

168 hodin - Pero z Chile - Václav Klaus krade - Czech President steals pen - YouTube

Czech President Vaclav Klaus Caught Stealing Sebastian Pinera's Pen In Chile (VIDEO)
 
Mkuu usimshangae sana maana ukistaajabu ya musa utaona ya firauni. Washangae viongozi wetu (wakiafrika) wanaoiba utajiri wa nchi, na sio kalamu! Hakuna kamera znazo wanasa lakini weeee...! Ni wezi balaa
 
Ni kweli mkuu, lakini jiulize, kama anaiba peni hadharani, huko sirini ambapo hakuna kamera ataiba nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom