Ubunifu uliotukuka!hapo kuna picha kama nne hivi kubwa ya babu na bibi,pia kuna ndogo mbili jamaa anaepiga "Guitar" na anayemsikiliza pembeni yake,sina uhakika kama kwenye sikio la babu ni mtu au mlango na pazia!
Ingekuwa Nchi za watu wenye kujua nini maana ya vipaji sasa hivi ungekuwa unaongelea maswala ya kusaini cheki za mabilioni, lakini TZ unahitaji Siasa, au ujanja ujanja tu ili utoke.