A picture speaks a thousand than words...

kwa wasiotumia tigo ..mbona inawezekana..? ILA KAMA UNATUMIA TIGO..USIJARIBU..!
 


Unaweza amini huu ni mkono wa binadamu?

Au ulifikiria ni Pundamilia aina mpya tunayoletewa kama misaada?
 
Rahisi! Kwa juu kuna kibao kilicho horizontal kwa ajili ya kukalia -- kitu muhimu ni ku-balance miguu tu.
 
Nimeikubali!! Huyo jamaa atakuwa na kipaji cha hali ya juu.
 
wazungu huwa nawafananisha na masanamu aisee, wakati mwingine akili huwa wanakuwa wamezichomoa....
 
Hii ya ukweli, kama ya Yule waziri aliyeporwa na changu kule moro
 
Hii ya ukweli, kama ya Yule waziri aliyeporwa na changu kule moro

Waziri gani "Malima" pale nashera Morogoro? Ilikuwa bahati mbaya sana naye changuduo alijivunjia heshima kumuibia waziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…