A photo with a thousand explanation... A thousand meaning...!!!

A photo with a thousand explanation... A thousand meaning...!!!

Naamini hata mpigaji wa hii picha hakujua kama inaweza kuwa picha bora kiasi hiki.. Lakini ya rohoni yana nguvu kuliko ya mwilini...
Picha hii ni picha bora ya muda wote katika siasa za upinzani Tanzania.... Ni picha iliyobeba maudhui mazito ya upendo wa asili... Upendo wa dhati ya moyoni
Ni picha itakayoishi miaka 1000 bila kuchuja.. Na kuna siku itakuwa gumzo kubwa...!!!
Ni hayo tu kwa leoView attachment 1463262

Jr[emoji769]
Picha inaonyesha machweo
 
Tafsiri yangu ktk hiyo picha ni kuwa
Hata penye giza hupata upenyo wa mwanga ambao huambatana na upepo umbao huwa kama tumaini kwa wengine.. hii ni kwasababu njia imeshatengenezwa na wengine ndio maana tunaweza kuona mengine. [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]

Jr[emoji769]
Hii nimeilewa sana
 
Picha inaonyesha machweo
.
JamiiForums365084461.jpg


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom