Kumbe mijinga sio miafrika tu na miarabu na yenyewe mijinga sana!! Sasa nchi zenye utajiri wa kupindukia kama saudia, qatar e.t.c. na mihela yoooote wanashindwa kuweka shinikizo na kusaidia waarabu wenzao wanvyouliwa kama inzi! Kweli Israel taifa teule hehehe.
Kuna kipindi nilikua naumia sana na mauaji ya wapalestina lakini imefika kipindi nikajiuliza hivi mimi ngozi nyeusi nahangaikia nini wakati ndugu zao wenyewe wanakula bata!!
Na waendelee tu, design wana Miungu tofauti!
Wee Gambamala mbona unatafsiri Quran utakavyo?
Hapa nahitaji kusoma madrasa nielewe?
Sura 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Wewe unadanganywa na media za ma criminals na unakubali kudanganyika kirahisi kabisa, pole sana bro.
Yeye anadhani kwa kuweka aya hizo basi atafanikiwa kuuchafua uislamu teh teh teh.
Sisi tunamuambia kwamba hizo aya na mafundisho ni halali kabisa na zimeshuka mahususi kwetu kuamrishwa hivyo pale tunapokuwa victimized bila sababu yoyote ya msingi kwa kuamini kwetu kwa mungu mmoja.
Tunaambiwa kufanya hivyo inself defence tena kwenye hali ya mifarakano pale makafiri wanapovuattack sisi.
Na hatujaambiwa sisi tuwe ni waanzilishaji wa hivyo tumeambiwa tufanye inself defence.
Hakuna kufanya kama wao eti ugeuze shavu la kulia huku unapigwa na kuuwawa Nooo...
This is oyr best religion of islam.
Kuhusi Daudi na Goliati sawa, sisi tunafuata hitimisho iliyofanywa na Yesu basi
Wewe hii unaitafsiri vipi?
Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mngu.
Surah 9:73
Ewe Nabii! Pambana na makafiri na wanaafiki, na wakazanie. Na makaazi yao ni Jahannamu, na huo ndio mwisho mbaya.
Maana ya neno Auliya sio marafiki, acha kutafsiri elm na lugha usioijua.
Ni kweli hizo aya zipo na hujakosea hata kidogo.Kuhusi Daudi na Goliati sawa, sisi tunafuata hitimisho iliyofanywa na Yesu basi
Wewe hii unaitafsiri vipi?
Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mngu.
Surah 9:73
Ewe Nabii! Pambana na makafiri na wanaafiki, na wakazanie. Na makaazi yao ni Jahannamu, na huo ndio mwisho mbaya.
Maana ya neno Auliya sio marafiki, acha kutafsiri elm na lugha usioijua.
Sina shaka na hoja zenu Misukule ninyi,kwa kuwa media zinazolipoti kurushwa kwa makombora toka maeneo ya gaza kwenda kusini mwa Israel zinadanganya, bali zile zinazoonyesha madhara na vifo vinavyotokana na mashambulizi ya ndege za kivita za Israel ndizo zinatoa taarifa ya kweli.
Hakuna kipya katika hoja zenu kwa kuwa kudanganya ili kufikia malengo yenu kueneza deen ya Allah ni halali.
Hiyo ni nukuu ya Quran kakuwekea wala hajaandika yeye, Msukule mwenzio aliyetafsiri Quran katafsiri kama ''Marafiki'' Lakini Msukule mwanazuoni wewe, unakanusha tafsiri pasipo kuweka tafasiri kwa mtazamo wako. Too pathetic ''Muslims''
Hii mtume wetu anaambiwa apigane na makafiri kipindi kile na hizo aya zita apply kwetu endapo mtatuzuia kufanya ibada zetu lakini mkiwa na adabu wala hutaona hayo yakitokea.
Sisi hatupelekwi kibubusa tunataka hoja zenye mashiko.
Ni kweli hizo aya zipo na hujakosea hata kidogo.
Mantiq yake ni kwamba sio watu waanze kuwafuata wasiomuamin mungu mmoja na mtume wake kisha waanze kuwaua au kuwalazimisha waamin iman yao la hasha.
Ingekuwa hivyo nani angesalia dunian hapa??
Mantiq ya hizo aya zimekuja kipindi ambacho kipenz chetu mtume wetu rehma na aman ziwe juu yake pamoja na masahaba zake walipokawa wanapigwa vita na kuuwawa kisa tu wao wameamua kuuufuata uislam.
Ndipo wakaambiwa msikubali kuuwawa na kupoteza uhaini wenu Nooo....
Preserve your life...
Thats the only thing you have.
Pigana nao hao makafiri.
Linda uhai wako na linda iman yako hakikisha hao makafiri waliomkufuru mungu mmoja kwa kusema amezaa na ana mtoto hawakutoi kwenye njia yako iliyonyooka.
Mtume na masahaba zake hawakuambiwa kwamba mkiona mnauliwa basi geuzeni mashavu yenu ya kushoto abadan asilani.
Waliamrishwa wafanye self defence.
Hata sisi pia.
This islam is our good religion.
Infact this islam is our all time religion....!!!
Na akili kama wanazo ni za kuvuka barabara ili wasigongwe na gari.
Pole wee msukule Nkwesa kwa kudanganya watu eti unaijua tafsiri ya Quran (ilioandikwa kwa lugha ya Kiarabu).
Hahaha, naona unaikana Quran, mimi natoa direct kwenye quran ilivyo
Wewe nadhani unaupinga uislam. Hii aya hapa inasema pale mnapochokozwa au mmeambiwa muwapige?
Sura 9:29
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu[wakristu na wayahudi], mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
"Fight against such as those to whom the Scriptures were given [Jews and Christians]...until they pay tribute out of hand and are utterly subdued."