A Palestinian boy

Status
Not open for further replies.
Stupid kabisa, kwani yule ustaadhi alierusha bomu Olasit kanisani mbona aliua mtoto wa miaka kumi?, halafu leo unatuletea habari za watu walio thousand miles

You are stupid
 

Watu wachache watakuelewa maana wengi wao hujitoa akili nakuja na mihemko kwadababu roho za wale vijana ni za punda. Ila za wapalestina ndio roho za binadamu.
 

Wee endelea tu kuwa support ma criminals, I think you have forgotten God almighty who hear, see and judge.
 
1) Hao sio wayahudi, hao ni wazungu kutoka Europe, wee mbona unadanganyika kirahisi sana (hivi haujui history wee) Israel haikuepo kabla ya mwaka 1948.

2) Hamas walikana kuhusika na utekaji huo

Ficha ujinga wako usifiche hekima yako.
 

Hahaa, eti kauwa kiimani.

Pole sana bro, usidhani madhalimu watapasi au waepuka na adhabu ya Mungu.
 
ardhi ni ya ISRAELI

Teh teh teh eti ardhi ni ya Israel Wagalatia bana dah! bible inasema mjinga huamini kila neno,utakuta mchungaji anamwambia kondoo wa bwana umeshasamehewa dhambi zako na yeye kwa ujinga wake anaamini dah!

Mkanyageni usiwe na akili kama kasuku kwasababu akili ya kasuku iko masikioni kila anachokisikia anakisema bila kufanya utafiti.
 
Last edited by a moderator:
A Palestinian child is crying to his died father killed by Israeli soldiers 

Tell these idiot Hamas and idiot IDF to stop exchange fire, ofcourse they are all idiot because they don't know who pay the price for escalation. I would rather than not side with neither IDF nor Hamas because they are all threat to the welfare of ordinary citizen including women and children
 
Mahmood kwa uchafu huu hapa, uwezi kunishawishi hata ipite miaka 200, allah mwenyewe hapa tayari ni mkatili

Sura 2:191
Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

Sura 9:5
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

Sura 9:27
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu[wakristu na wayahudi], mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mngu.
 

You are Idiot not them.
 
Kumbe mijinga sio miafrika tu na miarabu na yenyewe mijinga sana!! Sasa nchi zenye utajiri wa kupindukia kama saudia, qatar e.t.c. na mihela yoooote wanashindwa kuweka shinikizo na kusaidia waarabu wenzao wanvyouliwa kama inzi! Kweli Israel taifa teule hehehe.
Kuna kipindi nilikua naumia sana na mauaji ya wapalestina lakini imefika kipindi nikajiuliza hivi mimi ngozi nyeusi nahangaikia nini wakati ndugu zao wenyewe wanakula bata!!

Na waendelee tu, design wana Miungu tofauti!
 
Wewe ni mkristo unaefurahia MAUWAJI YA WATOTO WACHANGA!
Ndivyo imani yako inavyokufundisha! Kufurahia mauwaji ya watoto wadogo!

Umeshahau kuwa ni hao hao waliomsulubu mungu wako!

Ama kweli kondoo ni kondoo tu!
Acha dharau wewe pusi.
 

Gambamala aya zingekuwa zinatafsiriwa kwa akili ya kijahili kama yako hata hapa Tanzania usingebaki hata wewe.

Hata DAUDI alimuua Goliati na Wagalatia wote wanalitambua hili acheni ushabiki wa kutafsiri vitu msivyovijua.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…