Nimevuta picha huo msikitiko, kwakweli hapo Abdala lazima alaleHah sorry it sound mean
Unakuta ananyoleaga viwembe unakuta mapele magumu makubwa. Ukiunganisha na kisimi, ni kama inakutazama vile
Wakakuundia tume, heheKumbe unapenda wanawake ndio maana unafos maniga wawe na videvu vyakike sindio?
Niliwah kunyoa ndevu zote niligombezwa na mademu zangu
Wote nikasema sirudii
Wa mjini ukiwagombeza tu wanakimbilia dawati la jinsia, shauri yakoNahitaji wa mjini mjini 😅 wa mara hamna aseeh
Jamaniii hongera kwa kucheza mara mbili, lolAisee dr umenikumbusha kipindi nipo form 3
Shuleni kulikua na maafari ya kuhitimu form 4 asa wakati wa mziki mimi nilikua muoga nimemekaa pembeni kwenye ukuta wenyangu wana cheza na mabinti asa kuna ki demu kimoja kijaja kuniambia mbona umekaa ukutani twende tukacheze basi hapo nikajikaza kuepuka kudharau
Aisee mziki ulinoga tukacheza mpaka saa 3 baada ya hapo tukaenda kucheza tena tukiwa wawil
Hatare sana DrWa mjini ukiwagombeza tu wanakimbilia dawati la jinsia, shauri yako
I bera wochi my fronti.... i didHivi Kaka Dudu hajagusia ku-watch out ur front also ,,, Naona Huku nako Hali si shwaaaaali😁😁
Nilimuona kijana mmoja pale vingunguti ana ndevu kama brush ya chachandu kumbe ni wewe..... zinyoe bhanaaaaHayo madevu yatakuangusha mkuu.
Wazee wasio na ndevu nimewaona kadhaa ila vijana wa kileo wengi videvu vimechafuka uchebe.
Dr. Mariposa njoo ushike uchebe hapa vingunguti kidarajani.
Guys, nipo mji fulani hivi sasa mwenyeji wangu kwenye kazi nilipewa mkaka, ni wale wakaka mahandsome wanaojipenda, kucha zake zimekatwa kiutaalam sio zile za kung'atwa na meno, nywele zake fupi flani hivi, meno masafi meupe, ananukia muda wote, hanuki mdomo wala makwapa, hana ndevu,
First day tunakutanishwa nilimuona kabisa amenielewa hakuweza kuficha hisia zake, nikasema akijichanganya kunitongoza tu na kazi hana, lakini alikua mstaarabu mwenye heshima na uwoga ndani yake, mimi nikiwa kazini hua sina masikhara ni kazi kazi niliona kabisa anaenda na speed yangu, kila kitu kilikua kimenyooka, tukawa tunaelewana,
Ijumaa, nimerudi zangu ninapoishi baada ya mihangaiko ya siku nzima, nikapokea text yake, "samahani madam, nakupa pole kwa kazi za leo najua umechoka lakini usisahau kula..." nikajikuta natabasamu, nikamjibu pia "thanks, bado sijala, wewe umekula?", hapo ndio tulipoanza kuchat, nikasema hebu nimpe nafasi ya kumfahamu zaidi, basi chattings zikawa nyingi hadi tukafika kwenye kupata dinner, mpango ukapangwa tukakubaliana iwe siku inayofata yaani jumamosi mida ya saa moja usiku,
Jumamosi, nikajua nina a friendly dinner date, nikajiandaa vizuri alikua anakuja kunichukua nilipo twende pamoja, hapa nataka niweke sawa kwanini nilikubali kwenda nae dinner, licha ya usafi wake, ustaarabu wake lakini pia hana ndevu, yes huyu kijana wa miaka thelathini hana ndevu kabisaaaa, jamani sipendi ndevu mimi tena yakiwa yale yamejiotea hovyo hovyo kama mchicha pori yananitia kichefu chefuuu, mnyoe ndevu nyie wanaume wa humu ndani,
Tukafika hotel iliyokusudiwa, meza ilikua imeshaandaliwa kwa ajili yetu, huyu kijana alikua nervous sana ni wazi hakujiamini ila na mimi nilikosea kitu nilipendeza sanaaaaa yani nilivunja kabati labda ningevaa kawaida angepata hali ya kujiamini, hata hivyo nilifanya kazi kumuondolea huo uoga, nikawa namuuliza maswali anafunguka ni kijana smart sana na hana papara na maisha,
Baada ya kula msosi mzuri nikamwambia tubadilishe location, anipeleke sehemu yenye vibe tuachane na uzungu mwingi sie waswahili babu weee,
Tukaenda a night club hakukua na watu wengi sana sababu ilikua bado mapema, nikamuuliza nyimbo anazopenda akanitaji nikamfata DJ nikampa list ya nyimbo akaanza kuzipiga moja moja nikamwambia tucheze akawa anaona ona aibu baadae aibu ikaanza kumtoka akaanza kucheza, ulikua ni usiku mzuri sana, tulipata kampani zaidi ya marafiki, tulicheza, tulikunywa, tulikula, tulifurahi, mida ya saa sita usiku tukawa barabarani ananirudisha kwangu, akanisubiri nikaingia ndani na yeye akaondoka.
NB: Binafsi a date na Mwanamke ni amazing zaidi kuliko a date na Mwanaume, it was fun but it was not enough.
yaani unyoe ndevu kisa mwanamke Bro mimi nitendelea kuwa kama kr mullahNaanza kufanyia kazi hizi sifa.
Dah hizi aina zote umepiga mkuu😆Nashukuru mleta mada kwa kutoa ushauri wako kuhusu kucha na ndevu, ngoja nitoe kero yangu
1. Ushawahi kula mbususu iliyonyolewa wiki moja iliyopita, ina nywele nywele nyingi zinachoma choma mno....kero
2. Unakuta msichana kanyoa halafu mazingira yanakuwa na vipele vipele kama kuku aliyenyolewa....kero
3. Au unakuta mara nyingine unaangalia k, kisimi kinakuwa kama lipua likubwa hivi unaona kama inasikitika vile, so annoying....kero
asante ila nimeshangaa huyo hendsam boy wako baada ya kukupeleka nyumbani naye akaenda nyumbani kwake si kama uliweza kumwambia abadilishe location na kuenda night club ungemwambia alale kwako mumalizie hiyo sikuJamaniii hongera kwa kucheza mara mbili, lol
Unayatumbua kabla ya show😂Hah sorry it sound mean
Unakuta ananyoleaga viwembe unakuta mapele magumu makubwa. Ukiunganisha na kisimi, ni kama inakutazama vile
Kijana katuangusha sana, kashindwa kuonyesha uanaume wake.
😀😀Kifyatuzi cha hiyo koki kiko okaySiku hizi weekend inaanza alhamis mwanetu,, koki iko full full,,
I bera wochi my fronti.... i did
Kuna vile vifyatuzi vya kubinjua kwa juu vile ndo vizuri, maana utasikia fyaaaaa kinarusha pande zote😋😋😋😀😀Kifyatuzi cha hiyo koki kiko okay