Mpaka limekuja kwenye social media tayari limeshakuwa la public so kila mtu ana nafasi ya kutoa maoni yake nimeshauri kwa nia njema hata siku mkivamiwa na majambazi hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kukulinda mwenzake kwasababu wote ni wanawake na hamuwezi kubadilisha uhalisia, mama angu nafasi bado ipo ya kubadilisha maisha yako na kuishi kama wanawake wengine hakuna kitabu chochote cha Mungu kimehalalisha ndoa za jinsia mojaSijakuomba ushauri lakini, usijipe umuhimu kwa watu usiowajua
Usijali mama angu ukipata nafasi pitia kwa utulivu kuna madini mengi na yaliyoishiba yamethibitishwa na TBSNitasoma kesho aisee nilivyochoka siwezi hata kusoma huu mwandiko mrefu hivi
Usikasirike ! Jibu swali kulingana na ulichoulizwa mrs lesbian..Wewe ulishawahi kufanyiwa hayo!!!?? umeongea kwa uzoefu wa hali ya juu
πππMe nasoma Tu comments
ππππ WoiiiiihUkiipenda wewe inatosha, punguza ushauri kwa watu usiowajua
Naanza kufanyia kazi hizi sifa.
I enjoyed a good meal and a good vibe, not to the maximum i felt like i missed something then i realized if he was a she our night would've been amazing.How that night was? I think you enjoyed to the maximum
Mbona kama huyo Mudi ni wewe, hahahaha eti uso kama tikiti majiKuna mdau mmoja hapa mtaani alitoka kushave ndevu zote (haikuwa kawaida yake). Mwanamke wake akasikika akimwambia, "kwahiyo baba hadija ukinawa uso ni kama unaosha tikiti maji!"..
Mwingine (rafiki yake) naye hakubaki nyuma, "kwahiyo mudi umeyamua kunyoa ndevu zote ubaki na kidevu laini?, kama ulikuwa hutaki kuzaliwa mwanaume si ungesema!"
Wanasema unakuwa kama skonziKuna mdau mmoja hapa mtaani alitoka kushave ndevu zote (haikuwa kawaida yake). Mwanamke wake akasikika akimwambia, "kwahiyo baba hadija ukinawa uso ni kama unaosha tikiti maji!"..
Mwingine (rafiki yake) naye hakubaki nyuma, "kwahiyo mudi umeamua kunyoa ndevu zote ubaki na kidevu laini?, kama ulikuwa hutaki kuzaliwa mwanaume si ungesema!"