financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,360
Hahahhaa mkuuu si ndio ata mie nmekutania
,haya bana mi sitaniwagi lakini ukuje tuuHahahhaa mkuuu si ndio ata mie nmekutania
,haya bana mi sitaniwagi lakini ukuje tuu![]()
![]()
![]()
![]()
,alikuuza vibayaa mbavu zangu kwahiyo ulitaka kuinywa hiyo Ind....tu
![]()
![]()
![]()




Nilikuwa sijui maana yakeNalondoga gwise ukute karumbuHeee, mshipa ifiki![]()
![]()
![]()
Haha alafu nilikuwa naagiza kinywaji maana tulikuwa bar ndio jamaa akaniambia mwambie yule dada mbako indutu akiwa na maana niletee kinywaji kumbe kanidanganya yule dada alicheka akakimbia si nikajua hapa nishaharibu na jamaa huku anacheka hana mbavu




Utamuuza mwenzakoPia ukitoa namba unaungwa kwenye group la WhatsApp la members wa jf, huko kuna mambo mazuri usijepitwa bibie
Mimi nimepeana nae pmkaribu bibie ila nakusihi usiweke hapa namba yako ya simu.
Pia ukitoa namba unaungwa kwenye group la WhatsApp la members wa jf, huko kuna mambo mazuri usijepitwa bibie



Nimekuchek pm ila imefungwa.
Nani kakufundisha kufunga PM ungali mgeni jf




dah mabaaharia mshajazana inbox ya watuNnyomwike fijo gweeNalondoga gwise ukute karumbu

Hahaaa, ungedundwa weweeNilikuwa sijui maana yake
Hata wewe unataka kucheki nyuma!Aweke ile aliyogeuka nyuma kidogo
NdioHata wewe unataka kucheki nyuma!
Mie siko tayari kwa huyo ndugu yako😂😂😂, maana sio muda ataweka hadi namba hapaYaani ameshaanza kuingia shimo la kwanza Kwa kutuma picha na jina halisi,ila yuko vizuri ngoja niongee na Broo angu kama vipi tuchukue jiko, vipi wewe ushaoa?
![]()
usikute wewe ni Diwani Athumani.