A mockery of Justice: Kwenye tume wote aliowateua ni wanachama wa CCM

A mockery of Justice: Kwenye tume wote aliowateua ni wanachama wa CCM

SIFA ZA DALALI WA UPATANISHO ALIYE MKWELI

Rais Martti Ahtisaari - Ili Ufanikiwe Katika Upatanishi wa Amani unapaswa kuwa Dalali Mwaminifu​

View: https://m.youtube.com/watch?v=HXLLAo_3eXI

Rais Martti Ahtisaari - Ili Ufanikiwe Katika Upatanishi wa Amani unapaswa kuwa Dalali Mwaminifu

Ili Kufanikiwa katika Upatanishi wa Amani inabidi uwe Dalali Mwaminifu 21 Oktoba 2015 Martti Ahtisaari, Profesa Mgeni wa Humanitas katika ujenzi wa Serikali na Diplomasia 2015-16, anatoa mihadhara miwili ya hadhara, kushiriki katika Mazungumzo na wazungumzaji wengine walioalikwa, na kuhudhuria kongamano la kuhitimisha, kwa kuzingatia Mandhari ya Amani?

Hii ni ya pili kati ya mihadhara yake miwili ya hadhara. Katika mhadhara swali la msingi ni nini masharti ya utatuzi wa migogoro uliofanikiwa.

Je, unawezaje kupatanisha na kutatua migogoro kwa namna ambayo inajenga msingi imara na endelevu kwa jamii kuendelea au kuanza maisha yake kwa amani?

Kwa mpatanishi ni muhimu kuelewa jinsi ya kushughulikia utu wa vyama na kuhakikisha kwamba jamii ina misingi ya kuelekea kwenye upatanisho wa kweli na amani.

Katika kazi hii kujenga uaminifu ndio kila kitu. Amani haitekelezwi tu na taasisi, bali na watu.
Martti Ahtisaari ni balozi wa zamani wa Finland nchini Tanzania na pia mtaalamu wa UN katika masuala ya migogoro, upatanishi .
In Order to Succeed in Peace Mediation you have to be an Honest Broker21 October 2015Martti Ahtisaari, the Humanitas Visiting Professor in Statecraft and Diplomacy 2015-16, will give two public lectures, participate in a Conversation with other invited speakers, and attend a concluding symposium, based on the theme of How Can Peace be Made?. This is the second of his two public lectures. In the lecture the underlying question is what the preconditions are for a successful conflict resolution process. How do you mediate and solve conflicts in a manner that creates solid and sustainable foundation for a society to continue, or begin, its life in peace? For a mediator it is important to understand how to deal with dignity of the parties and to ensure that the society has the grounds to move in the direction of true reconciliation and peace. In this work creating trust is everything. Peace is not implemented only by institutions, but by people
 
Kazi mbaya si mchezo mwema.
Matusi matupu...Tax alikuwa Waziri wa ulinzi, si ajabu ali sanction mauaji, leo yuko kwenye tume!

Mungu naomba basi hilo lisifike mwisho wa safari.

Tunataka tume ya Kimataifa, siyo utani huu.
Duuh
 
What is special with Ombeni Sefue? Maana kila tume anayounda Samia huyu hakosekani
 
Kazi mbaya si mchezo mwema.
Matusi matupu...Tax alikuwa Waziri wa ulinzi, si ajabu ali sanction mauaji, leo yuko kwenye tume!

Mungu naomba basi hilo lisifike mwisho wa safari.

Tunataka tume ya Kimataifa, siyo utani huu.
downloadfile-5.jpg
 
Hii ni maajabu, mtuhumiwa anajichunguza!
Sawa, tume ianzie pale samuya aliposema 29 oct hakuna cha nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa alimaanisha nn?!.
 
Kazi mbaya si mchezo mwema.
Matusi matupu...Tax alikuwa Waziri wa ulinzi, si ajabu ali sanction mauaji, leo yuko kwenye tume!

Mungu naomba basi hilo lisifike mwisho wa safari.

Tunataka tume ya Kimataifa, siyo utani huu.
Kwani tume imeshaundwa?
 
Kazi mbaya si mchezo mwema.
Matusi matupu...Tax alikuwa Waziri wa ulinzi, si ajabu ali sanction mauaji, leo yuko kwenye tume!

Mungu naomba basi hilo lisifike mwisho wa safari.

Tunataka tume ya Kimataifa, siyo utani huu.
Hii tune inapingana na ile principle ya kisheria inayosema "Nemo debet esse judex in propria causa”

simply stated: " no one ought to be a judge in their own cause".
 
SIFA ZA DALALI WA UPATANISHO ALIYE MKWELI

Rais Martti Ahtisaari - Ili Ufanikiwe Katika Upatanishi wa Amani unapaswa kuwa Dalali Mwaminifu​

19 November 2025
Deus Kibamba - Uchunguzi wa Kisanyasi Unatakiwa Badala Uchungizi uliogubikwa na Siasa

View: https://m.youtube.com/watch?v=wegx-qz6k7o

Uchunguzi wa Kisayansi ndiyo uponyaji utapatikana kwa taifa na mioyo ya raia

Walioteuliwa katika Tume kama wajumbe, wajipime kama wanatosha na kukubalika na umma mpana.

Kama baadhi ya wajumbe hao wanajiona hawatoshi, wajiuzulu ili TUME hii ibaki na heshima ya kukubalika

Watu wengi hawajulikani wapo wapi, haijulikani kama wapo mahabusu, kizuizini au nini kimewakumba hadi hatuwaoni

Nina vijana nilifundisha lakini kwa sasa sijawaona na sijui wapo wapi

Umuhimu wa Jopo Huru lilisolipwa na mkuu wa nchi au serikali yake ni mkubwa sana, na utaipa serikali ya Tanzania heshima kuondokana na doa alilolitaja mkuu wa nchi kule Bungeni Dodoma

Tusizuie majopo ya Huru, tukiwazuia wanaotaka kutuma Jopo Huru itaipa serikali na nchi wakati mgumu

Hakuna ubaya wa kuwa na majopo ya ndani na nje ya nchi pia tusijaribu kuyazuia

Dr. Lazarus Chakwera na Jopo lake litakuwa rapport building yaani wadau mbalimbali kufahamiana na kuaminiana. Hivyo Dr. Chakwera na Jopo lake linakuja kwa ajili ya rapport ila wataalamu wa uchunguzi wa kisayansi watakuja baada ya wadau wote ikiwemo serikali kukubaliana na yale yanayopigiwa kelele ikiwemo ruhusa ya kuongea kwa uhuru ..

Jeuri, ngebe, uhafidhina havitakiwi ikiwa kweli tunataka kutoka sababu zilizosababisha Oktoba 29, 2025 maandamano kutokea baada ya nafasi zote za kudai haki iwe mahakamani, mchakato wa uchaguzi, kutekwa, kukamatwa bila kufikikishwa kituo cha polisi, taratibu za ukamataji, sheria kandamizi kama hii ya uundwaji Jopo la Uchunguzi ya 2023 n.k

Rais anatakiwa kushinda kiti ch urais kwa asilimia 50 + kura 1 badala sheria ya sasa ambapo rais anaweza kuchaguliwa kwa asilimia 10 ya watu milioni 70.
 
Back
Top Bottom