chadema hapa kiiiimya.......unapokuwa mshabiki changanya sana na akili zako sasa ni hivi
1. Dr. Slaa atafika kizimbani
2. ben saanane atafika kizimbani
3. Mbowe lazima afike mahakamani
4. mchungaji msigwa.....atafika tu
5. Lema na company yake arusha na nyie hesabu siku
wengine wahusika ni wa kawaida tu, ambao matumbo yao yamelazimika wao wafanye
jaman ccm ni wapuuzi, ila chadema na wanachama wake ni wapuuzi zaidi.......
politics sio clean duties
Sijaona facts zaidi ya kukopi maneno kwenye thread tofauti tofauti!
Hakuna uhusiano wowote kati ya ben saanane na tuhuma za lwakatare zinazo mkabili. Naona unajaribu kuunganisha matukio tofauti kabbisa. Hapa ni kuhusu msacky!
Sasa hayo ya zitto wambie walio toa tuhuma wakafile case.
Naona umeamua kujichanganyia mambo ambayo hayahusiani kabisa.
labda ukawambie polisi waje wasome hizo thread tajwa hapo juu alaf waseme ni ushahidi ili wa kamfungulie Ben case ili tuone.
A Million Dollar Question ni iwapo kijana Ben Saanane aliyewahi kutajwa kutumiwa na chadema kutegeshea watu sumu atatajwa tena kwenye kesi hii. This is very original, hakuna kuunga unga hapo...
KWI KWI KWIZe macropolo,
Hii thread imekaa vizuri sana
Nadhani wahusika wanakuna vichwa huko waliko.
Niliisha muambia Ben kuwa anaonekana anajua mengi sana, mie kama ex cop nashauri kijana ahojiwe kama shahidi muhimu kwenye hii sakata
CHEADEMA is a big joke
Hii issue imeichafua sana chadema na itaendelea kufanya hivyo kwa kuwa mengi yataibuka
We mchekea tumboni katika maisha watu hupitia mengi kabla hawajafika walipo.KWI KWI KWI
EX-COP
TUNAJUA KWAMBA COPS WETU WENGI NI VILAZA NA WALIENDA HUKO BAADA YA KUKOSA OTHER ALTERNATIVES
now i know why
We mchekea tumboni katika maisha watu hupitia mengi kabla hawajafika walipo.
Mie nimekamilika kwani nimeptia mafunzo magumu ya kijeshi/polisi nikiwa 18yrs na nimeacha jeshi nikiwa 23 nilipoamua kuingia kwenye ujasiliamali.
Ukumbuke nimesoma kuliko DJ kwa hiyo unaponiita mimi kilaza unakuwa unamdhalilisha mwenyekiti wako
Niko very proud kuwa ex cop, kwanza wahalifu inabidi wafurahi niliacha jeshi kwani nadhani magereza kungekuwa hakutoshi.
Makanda wa Chadema ni sawa na mwanafunzi aliechukua ada ya shule badala ya kwenda kulipa shule akaamua kuichezea kapesa kekundu(karata tatu) akitegemea kupata utajiri mkubwa .CHEADEMA is a big joke
Ben Saa nane knows more than we can imagine.Haya maneno uliyoandika yanathibitisha kuwa hujui uhusiano uliopo kati ya Zitto na Msacky na inawezekana hujasikiliza tamko alilotoa Dr. Slaa juu ya kukamatwa kwa Lwakatare.
Jiandae kisaikolojia kulisikia jina la Ben Saanane mahakamani...
Can also be "V" for Victory...Ludo leo mahakamani alionyesha ishara ya vidole viwili juu kama jinsi alivyofanya Lwakatare.
Kimataifa ishara hii inamaanisha amani, lakini kwa Tanzania ishara hii hutumika kama utambulisho wa affiliation to chadema...
Yaani uzi umeandishwa na magamba kisha unaendeshwa na magamba mambo yanakwenda kabisa!!!
Mwisho wa ubaya ni aibu.