A message to my Ex!

Haya bila shaka ni maneno ya mtoto wa kike kwenda kwa wakiume...

Ndio ushaachwa hivyo bi mkubwa, just live with it
 
Kwani ulizaliwa nao?

Like wakati unazaliwa kuna mwanaume alikuwa ni sehemu ya viungo vyako mwilini?

Tafakari...
Mie hapa namlaani ex,,,,, sijawahi ombea ex yeyote jema na sifanyi hivyo, wanisamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…