Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,882
- 2,762
Si unajua wengine tumesomea chini ya mti siyo academia. Kuzungumza kiingereza ni issue
duh! Unaniogopesha, mkuu. Au wazungu nyie mlizaliwa bongo wakati wakati ulee na hamkurudi ulaya baada ya uhuru? (joking)