Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,750
- 1,604
Movie ya continuum na story za time travellers, eti wanaulizana "when are you from"? Hahaha funny.
Yangu macho maana naona manyota nyotaHabari wakuu..
Hivi unataamua kufanya nini kama ukiamka ukapata siri ya kusafiri na muda (time travel)
Yaani uwe na uwezo wa kuchagua muda wowote unaotaka kwenda.
Kwa mfano unaweza kwenda mwaka 2o99 then ukarudi sasa hivi 2018?
Au ukaenda mwaka 1944 ushuhudie vita ya pili ya dunia mubashara..
Sasa basi twende kwenye maada moja kwa moja..
Kuna watu wanaamini inawezekana ku time travel na wanatoa evidence zao kwamba inawezekana.
Moja ya evidence iliyopo ni jamaa mmoja aitwaye Andrew Carlssin yeye alifanya biashara ya kuinvest kwenye stoke market na mtaji wa dolla 800 ilikuwa ni mwaka 2003 baada ya week 2 akapata faida ya dolla milioni 350!!!.
FBI wakaona ni kitu kisichowezekana kwahio wakaanza kumchunguza. Walimkamata na kumfanyia mahojiano ili ifahamike ametumia trick gani kupata pesa hizo..
Baada ya kumbana sana aliwajibu kuwa yeye anatoka mwaka 2256 kwahio amekuja mwaka 2003 na time machine yake..
Na huko mwaka 2256 biashara hizo za fedha zimeendelea sana kwahio ukitumia ujuzi kidogo wa zama ambazo yeye anaishi unapata faida kubwa wakati wetu (2003).
FBI walishindwa kumuelewa wakajua labda atakuwa chizi
View attachment 684193
Walimuachia lakini baada ya kutoka hakuwahi kupatikana mpaka leo hii..
Ushahidi wa pili kuhusu ku time travel ni picha zinalizopigwa kombe la dunia 1962 ambapo kuna jamaa alionekana kashika mobile phoneView attachment 684203
Inasemekana jamaa alikua katoka dunia ya sasa hivi akawa ameenda kupiga misele na kucheki komba la dunia live la mwaka 1962..
Kuna picha nyingine ya jamaa kapiga pamba za kisasa miaka ya zamani sana ambapo utamaduni wa mavazi haya haukuwepo..View attachment 684209
...hio ni baadhi tu ya mifano kuelezea kua kumbe inawezekana kutoka sasa hivi 2018 na kwenda zako 1680's ushuhudie vasco dagama anavotua bongo...
Au uende zako 1961 ushuhudie uhuru wa tz mubashara..
Kama wewe ukipata siri hio utaenda mwaka gani??
Na kwa nini??
Mimi ilikua kidogo niamini...lakini nilipowaza kama nikirudi enzi za babu yangu then nikamuua itakuwaje?? Ntazaliwa??aisee nimesoma sana na kufatilia hii issue ya time traveller....mm naamini kwa % fulani kutakuwa na ukweli,
dunia inasiri nyingi sana na muda unavyozidi kwenda ndio zinavyozidi kufichuja.
nikirudi kwenye swali kama ningeweza kurudi ningerudi miaka ya kuzaliwa nyerere.
Mkuu baada ya physics hii ...hizi zitakuwa story kama za ma allien na UFO tuAchilia mbali molecular structure ku disintegrate, it is against the laws of physics for anything with mass to reach the speed of light.
Even if it has a very small mass, reaching the speed of light will be impossible because it will get heavier and heavier tending to infinity mass as it nears the speed of light.Every addition in velocity will require an insane amount of energy, up to the entire mass of universe.
In other words, the entire mass of the universe is not enough energy to move any massive object, no matter how small, at the speed of light.
This has been proved many times over by Einsteins Relativity equations.
hahaha hilo swali mm pia nimejiuliza sana,Mimi ilikua kidogo niamini...lakini nilipowaza kama nikirudi enzi za babu yangu then nikamuua itakuwaje?? Ntazaliwa??
Kuanzia hapo nikaanza kufwatilia na kusoma vitabu kwa kujifurahisha kama story za ma allien tu



Hahaaa sijui hio cycle itaishia wapi..maana ukimuua inamaana hauta exist tena then babu yako hata uwawa na wewe halafu weqe utazaliwahahaha hilo swali mm pia nimejiuliza sana,
wakati mwingine inawezekana ni uchawi na ushirikina maana kama ukienda ukamuua inamaana utabadilisha kila kitu hadi uwepo wako na ww...![]()
... huu ujinga duhhahahaHahaaa sijui hio cycle itaishia wapi..maana ukimuua inamaana hauta exist tena then babu yako hata uwawa na wewe halafu weqe utazaliwa![]()
... huu ujinga duh


hii inatishia amani chiefHahaha, mkuu kwa physics inayojulikana sasa ya Standard Model of Particle Physics, Einstein's Theory of Relativity na Quantum Theory, kitu chochote chenye uzito, hata mdogo vipi, hakiwezi kufikia the speed of light in a vacuum.Mkuu baada ya physics hii ...hizi zitakuwa story kama za ma allien na UFO tu
What if nikikwambia hiyo ni mada inayowaumiza watu vichwa kila siku lakini INAWEZEKANA KURUDI TO THE PAST NA KUMUUA BABU YAKO NA WEWE UKAENDELEA KUEXIST!! kasome/google GRANDFATHER PARADOX.Mimi ilikua kidogo niamini...lakini nilipowaza kama nikirudi enzi za babu yangu then nikamuua itakuwaje?? Ntazaliwa??
Kuanzia hapo nikaanza kufwatilia na kusoma vitabu kwa kujifurahisha kama story za ma allien tu
Kuna mtu anaitwa JOHN TITOR aliwahi jitokeza akasema yeye ni mwanajeshi toka mwaka 2036, na alitumwa na serikali ya wakati huo kwenda nyuma mpaka mwaka 1975 kuchukua aina fulani ya compyuta ambayo ufanyaji kazi wake ungewasaidia miaka yao (2036) kuweza shinda vita - anasema Marekani kipindi hicho ilikua inapigana vita vya wenyewe kwa wenyewe(civil war) hivyo alipitia mwaka 2000 kuchukua baadhi ya picha na vitu vya kumbukumbu ya familia yao vilivyopotea huko mbeleni.Labda tugundue physics mpya na habari ambazo hazijajulikana bado.
Na kwa vile ambavyo vinaweza kwenda kwa speed of light, the universe has no time.
Kuna mtu anaitwa JOHN TITOR aliwahi jitokeza akasema yeye ni mwanajeshi toka mwaka 2036, na alitumwa na serikali ya wakati huo kwenda nyuma mpaka mwaka 1975 kuchukua aina fulani ya compyuta ambayo ufanyaji kazi wake ungewasaidia miaka yao (2036) kuweza shinda vita - anasema Marekani kipindi hicho ilikua inapigana vita vya wenyewe kwa wenyewe(civil war) hivyo alipitia mwaka 2000 kuchukua baadhi ya picha na vitu vya kumbukumbu ya familia yao vilivyopotea huko mbeleni.
Jamaa aliweza kuchora mchoro wa jeshi lao pamoja na kueleza ufanyaji kazi wa Time travel Machine aliotumia!. Kitu pekee hakuna aliyeweza muona kwa macho huyo jamaa maana alikua anapost mtandaoni kama hivi JF na baadae alipotea lakini kaachia wanasayansi maswali mengi sana!, kuna hadi taasisi zinaitwa jina lake zinafanya uchunguzi!.
John Titor alikua ni mfano lakini nilichotaka tudiscuss ni kwamba nazani yawezekana kuitembelea past yako bila kuiharibu present yako. Kwa kupitia baadhi ya maandiko kamaKwa hiyo, kama unataka kuamini time travel inawezekana, mtu akiunga unga stories tu, unakuwa rahisi sana kuiamini.
Mkuu nimejaribu kusoma hio grandfather paradox ingawa sijaielewa sana lkn inavyoelezea ni kwamba mtu akirudi kwenye past harudi kwenye past yake yaan anarudi kwenye parallel universe.John Titor alikua ni mfano lakini nilichotaka tudiscuss ni kwamba nazani yawezekana kuitembelea past yako bila kuiharibu present yako. Kwa kupitia baadhi ya maandiko kama
-Grandfather paradox
-Causal loop
-Schrödinger's cat
-Echeverria and Klinkhammer's solution
-Time loop
Precesly!Sio ushetani..labda useme ni mawazo ya watu baada ya kushiba ugali tu
Huyu jamaa ndie yule jesuits aliyetumwa na father Andrew White (rejea kwenye jina la White House) kuhakikisha mkataba wa American indepence unasainiwa alafu akatowekaKuna mtu anaitwa JOHN TITOR aliwahi jitokeza akasema yeye ni mwanajeshi toka mwaka 2036, na alitumwa na serikali ya wakati huo kwenda nyuma mpaka mwaka 1975 kuchukua aina fulani ya compyuta ambayo ufanyaji kazi wake ungewasaidia miaka yao (2036) kuweza shinda vita - anasema Marekani kipindi hicho ilikua inapigana vita vya wenyewe kwa wenyewe(civil war) hivyo alipitia mwaka 2000 kuchukua baadhi ya picha na vitu vya kumbukumbu ya familia yao vilivyopotea huko mbeleni.
Jamaa aliweza kuchora mchoro wa jeshi lao pamoja na kueleza ufanyaji kazi wa Time travel Machine aliotumia!. Kitu pekee hakuna aliyeweza muona kwa macho huyo jamaa maana alikua anapost mtandaoni kama hivi JF na baadae alipotea lakini kaachia wanasayansi maswali mengi sana!, kuna hadi taasisi zinaitwa jina lake zinafanya uchunguzi!.