A lovely gift from God, greatest of all

A lovely gift from God, greatest of all

Habari za mchana huu wadau wa JF?

Haswa jukwaa letu pendwa la MMU.

Kwa furaha isiyokuwa na kifani jamani ambayo napenda kushare na nyie, leo Mwenyezi Mungu kanijaalia mtoto wa kiume mwenye afya bora.
Am so happy to be a daddy and I promise to among the best dad in the world.
Am so happy wajameni and so let us cherish together.

God bless you as ever, ila remember mtihani wa ulezi ndiyo kwanza unaanza kwako.
 
Hongera sana .kuitwa baba sio kitu kidogo..baba hajitambulishi..majukumu ndiyo yanayomtambulisha
 
Hongera sana.

Kumbuka, Takwimu za Tanzania zinaonesha zaidi ya 40% ya mababa wanabambikiwa watoto nakushauri kapime DNA mapema ili uzidishe furaha.

Source: https://www.jamiiforums.com/jf-doct...anzania-wamebambikiwa-watoto-na-wake-zao.html

Aiseee!! Yaani mkuu nina hakika kuwa huyu ni mwanangu zaidi ya zaidi maana tulipanga kutafuta mtoto tarehe na mwezi kwa kufuata zile procedure zilizoelezewa juu ya kupata mtoto wa jinsia utakayo kama alivyoelekeza mzizi mkavu.
So everything have worked out 100% and am sure 100%.
 
Hongera sana, nilikuwa nakukumbusha takwimu za Tanzania kuhusu mababa wanaobambikiwa, kama una hakika ndio kheri kubwa hiyo. Kitanda hakizai haramu, azaae ni mama.
 
Back
Top Bottom