A long misunderstanding conversation

A long misunderstanding conversation

Naona mr brown asingeweza kujibu kwa ufasaha hivyo heri hakuwepo lol, nice one
 
Kumbe mchizi alidhani yeye ndo wakwanza kuanza kuchimba mgodi kumbe danganya toto jamaa wengine washachimbaga kitambo ye wa juzi tu. Du sijui akijua itakuwaje pole yake Mr. Brown kwa mgod wake
 
Du.nilitamani kusikia habari za wachimbaji haramu na wawekezaji wa kigeni.
 
Back
Top Bottom