Umenipotezea mpaka naona aibu...umepotelea wapi?
Ushakuwa kaserengeti siku hizi?
Najuta kuoa mitala........ woooote mmenisaliti. Mi nawaangalieni tu. Kuwaacheni siwaachi ng'oo ila lazima nirivenji...hubby tatizo umeadimika.....
mpaka vidume vinatutokea humu....sijui wanadhani tupo singo wakati sie ni album kamili.....
na toka umuhamishie cacico habari na hoja mchanganyiko haonekani kabisa pande hizi..
Tena wewe ndo mbaya wangu nambari wani. Ngoja nikazimue....yaani harufu ya bia inafanana na ya usaliti siku hizi?
Tena wewe ndo mbaya wangu nambari wani. Ngoja nikazimue....