Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
he he he, jipe moyo
naskia mkeo mzee kidogo kwa bi kidude
hah hah hah hah hah! Wivu tu unakusumbua! Wife ni kigoli cha nguvu, na ndio maana nikamwoa!
he he he, jipe moyo
naskia mkeo mzee kidogo kwa bi kidude
anakataa kutoka
kaning'ang'ania hadi naogopa atanifia
mtu gani anakunywa limbwata mwenyewe??
Kongosho acha uvivu bana tueleze tajiri letu la kihaya Bishanga yupo sero ganiInakuwaje mtu anauandikia moyo wake barua?
NA ukipata wasaa wa kuuandikia barua moyo wako utauambia nini??
Huu ni ujumbe wangu kwa moyo wangu:
Dear heart, release Bishanga kwenye kaselo ulikomweka
Aje kuchit chat hapa
Ameshajifunza.
BEpari limeng'ang'ania kuwa toto langu la hiari
Nyuma ya Amana hosp. Mostly common as know as Msimbazi centre.
Kuna kitengo pale cha kulea watu waliochoka au kupigika .
Patamfaa Bishanga hapo .
To keep my record clear, ili apone kabisa lzima afe! Just do smtn Kongosho
Mi nawaangalia tu!
Hapa nanusa kaharufu ka usaliti......Inakuwaje mtu anauandikia moyo wake barua?
NA ukipata wasaa wa kuuandikia barua moyo wako utauambia nini??
Huu ni ujumbe wangu kwa moyo wangu:
Dear heart, release Bishanga kwenye kaselo ulikomweka
Aje kuchit chat hapa
Ameshajifunza.
Mi nawaangalia tu!
Siku hizi hamsomeki kabisaaaaa!
Ila hata mfanyeje mi siwaachi!!
anakataa kutoka
kaning'ang'ania hadi naogopa atanifia
mtu gani anakunywa limbwata mwenyewe??