A letter to My Heart (Dear Heart)

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,234
Inakuwaje mtu anauandikia moyo wake barua?

NA ukipata wasaa wa kuuandikia barua moyo wako utauambia nini??

Huu ni ujumbe wangu kwa moyo wangu:

Dear heart, release Bishanga kwenye kaselo ulikomweka
Aje kuchit chat hapa
Ameshajifunza.
 
Last edited by a moderator:
eheheee maskini Kongosho
ngoja nilitolee leo nimreplace bishanga
 
Last edited by a moderator:
Moyo tafakari uyawaze ya dunia,ewe moyo kipi kikusikitishacho?
Inakuwaje mtu anauandikia moyo wake barua?

NA ukipata wasaa wa kuuandikia barua moyo wako utauambia nini??

Huu ni ujumbe wangu kwa moyo wangu:

Dear heart, release Bishanga kwenye kaselo ulikomweka
Aje kuchit chat hapa
Ameshajifunza.
 
Last edited by a moderator:
Kwani wakishaingizwa kwenye vyupa huweza kutoka tena wakawa normal kama sisi? Just curious! BTW wapi papaa Katavi mutu ya Lyamba Lya Mfipaa?? Papaa kaniporaga Mamndenyi kwa madawa yule............................sitomsahau wallahi! Then now anashiriki 100% ushirikina wa kulipwa, nitahamasisha maandamano ya kum-rescue Bishanga lakini tunaanzia na kuishia kwa Katavi kwa kuwa ndiye muhusika mkuu akishirikishwa na Kongosho.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone Huyo Bishanga hamuwezi kum-rescue kama yeye mwenyewe hayupo tayari.
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi namruhusu kutoka anakataa

Kajua nilipoficha limbwata, analilia na kunywa mwenyewe

Naogopa kuua mtoto wa mwanamke mwenzangu

 
Siku hizi namruhusu kutoka anakataa

Kajua nilipoficha limbwata, analilia na kunywa mwenyewe

Naogopa kuua mtoto wa mwanamke mwenzangu


Mwambie Katavi amtapishe dawa alomnywesha huenda akarudia hali yake ya kawaida. siyo lazima mganga afe ndiyo iwe nitolee... Kongosho Si unajua 'stitch on time saves nine? ...........Kazi ni kwako..........'
 
Last edited by a moderator:
he he he, jipe moyo

naskia mkeo mzee kidogo kwa bi kidude

Hah hah hah hah hah!! Taratibu na maneno yako! Mimi si tu sijawahi kumuoa Mamndenyi, hata kumtongoza sijathubutu! Afterrall marejesho is so cute that wengine siwaoni. Na ni kigoli wa ukweli! Lol...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…