Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,500
- 235,202
Hata Mimi niliwaza Hili.. nikawa nasubiri tu litimie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haki nilijua tu lazima kuna mwanaume atakuja kusema kitu kama hiki maana ukiongelea swala la mwezini wao ndicho wanachowaza hicho nyambafu zao, sasa na mimi nimeshakuwa Zurri nataka anipe tafsiri ya hiyo sentensi katika kiswahili sanifu