A letter to my future lover

A letter to my future lover

Kwasababu wanawake tunaonekana kama bidhaa. Wanasahau hii ni Karne ya 21, women also bring food to the table and in that case they have the right to choose the right life partner.
The tables have been turned and some men feel intimidated, they are scared. Real men are unbothered.
Haswaa, kuna mwanaume niliwahi kumuuliza hili swali kwamba kwanini wanaume mnachagua wanawake ila hamtaki wanawake wachague wanaume akanijibu eti siku zote mnunuaji ndiyo anachagua bidhaa bali bidhaa haichagui mnunuaji lakini kutokana na muonekano wake na maisha yake sikumshangaa ila wanaume wa siku hizi hawataki kukubali kwamba dunia imeshabadilika wanalazimisha kuirudisha nyuma ila ndiyo imeshashindikana.
 
Naona wanaume ambao hamna qualifications mnateseka sana. Wenye qualifications zao wametuma PM zinazoeleweka.
.
Jamani, hata ukienda kununua bidhaa mahali utaanza kuiponda range rover kwasababu uwezo wako ni IST. Au utaiponda iPhone X. Mara oh, barabara ni ileile, range rover ya nini.
Kama uwezo wako ni IST usione wanaopanga plans kununua range rover ni matahira na kuwa hawataweza.
.
We tulia ndani ya uwezo wako kaa kimya, mbona wanaume wazima mnakesha kunisuta mwanamke kisa hamna qualities nazozitaka? Mnaumia nini? ?
.
Narudia tena, yani hapa mnabishana na Simba jike. I'm not your average kinda woman. I'm a different breed.
.
Na huwezi kuta mwanaume mwenye IQ zake na ndevu anabishana na mwanamke usiku. Nasema hivi, poleni sana.
Mtu mwenyewe wewe ndio wa kutesekea? Kwa lipi hasa wakati wewe ni rejected tu kwanzia kwenu mpaka mitaani unakoishi?

Na umri wako wa miaka 23 tayari umeshaanza kuzurura mitandaoni una tafuta mabwana wakati wenzako wenye mvuto wao wanapokuwa kwenye umri huo ndio kipindi ambacho wana sumbuliwa na wanaume kibao wa kila kariba.. wanakuwa na options nyingi ni kitendo cha ku-pick tu mwanaume mwenye vigezo anavyohitaji wala hawawezi kuja kutafuta bwana mtandaoni hata kidogo.

Mara nyingi mtu anayekuja mtandaoni huku ni yule aliyekosa soko huko mitaani anakoishi, na anakuja huku kujaribu bahati out of desperation baada ya kuona hakuna mwanaume anayeshoboka na yeye hasa wale wenye sifa anazozihitaji wanampita tu kama kisiki.

Na wengi wao tunaowaona hapa ni wale ambao umri umesogea kidogo, sasa wewe na umri wako wa miaka 23 hakuna anayekutaka huko mtaani je ukifika kwenye 28-29 si ndio utakuwa unaonekana taka taka kabisa hata chizi hawezi kukuangalia mara mbili.

Dumb ass b'tch you must be ugly AF.

Unajifanya kuleta u-much knowing hapa wakati ni katahira fulani tu ambako kako utumwani kwa kuiga kila kitu cha magharibi!!

Eti wanaume wenye qualifications zao wametuma, ni mwanaume gani mwenye akili zake timamu anaweza akakuchukulia serious westernized dunderhead kama wewe!?

Hii avatar yako tu inaelezea kila kitu kuhusu wewe, inakuonesha wewe ni kajitu ka aina gani.

Huna akili hata kidogo i would rather date a goat than making a move to dumb ass harlot like you.
 
I have been receiving alot of notifications from this thread and it makes me wonder that some people really think this is a woman searching for a life's partner and not someone who is purposefully fooling people for funny I believe the person behind this thread has more than one ID and now he is digging for some information from other members, be careful you have been warned.
Yes, I do have another ID. That's why I said I joined JF with this ID purposely for this aim.
No, I'm not a man. But you are still entitled to your beliefs.
No, I don't have time for fooling people. I have other fun stuff to do than that. And to me it's not even funny, its weird.
 
He is mentally disturbed. Nmekuja kugundua baada yakukuta kaniandikia magazeti kama yote. Hiyo reaction sio ya kawaida, msaidieni mwanaume mwenzenu.
Have you gone for psychiatric diagnosis before you start talking about my state of mind?

With regarding to your logic i can see we all are in the same situation, being rejected by all men in your communities can't leave you okay mentally.

Nafikiri uanze kusaidiwa kwanza wewe kisaikolojia maana nafahamu jinsi wanawake mnavyojiskia pale kila mtu anapokuona wewe hauna tofauti na jiwe kimuonekano.
 
Naona khantwe amekusaidia kusema eti.
Ulitaka kunambia ila unashindwa
Kwamba unampa bichwa?? Sasa hapo umempa bichwa gani jamani?? Nimekumbuka kuna siku hata mimi alishawahi kuniambia hivyo!! Nikahisi utani kumbe anamchukia kweli!!
 
Lizarazu punguza bhana kubishana Sana na watoto wa kike.
Hizi ligi na watoto wa kike zinakuharibia CV bhana ..ujue wewe mpwa wa anko magu
 
Back
Top Bottom