A letter to my dear wife

A letter to my dear wife

Mkuu pambana tu ipo siku atalainika,

Kuna mshkaj wangu ashamfuatilia mdada miaka tisa,yaani huyoo dada aliolewa akaachika na watoto watatu,ndio akamkumbalia mshkaj!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Tunajiongeza....Sasa mtu unampiga mistari wenyewe chumbani haingii utafanyaje?

bila kupendelea jaribu kuvaa uhusika wangu... Nalendwa umemfuata inbox dada nakupenda hajibu. kesho tena vile vile.. haya nitumie namba nikutumie mpesa hataki..

si unamfuata huko jukwaa la kimataifa?


Wewe Munchkin wewe!

We haya We...lol!
 
Dear Wife to Be.

Ningekupost hapa lakini unajichelewesha mwenyewe, mimi niko tayari hata leo. Tatizo simu hutaki nikupigie, unaweka standard ambazo zimevuka mipaka. Sasa mimi nifanyeje.?

Text PM hutaki kujibu. Nifanyeje lakini wife to be ?
Mi pia nina moyo.

Nitakupost lini my wife to be?

HAKUTAKI ANASHINDWA KUKWAMBIA, KUNA SIKU ITABIDI TU AKWAMBIA KWAMBA FUTURE WIFE WAKO NI MANKA SIO SHEILA
 
Dear Wife to Be.

Ningekupost hapa lakini unajichelewesha mwenyewe, mimi niko tayari hata leo. Tatizo simu hutaki nikupigie, unaweka standard ambazo zimevuka mipaka. Sasa mimi nifanyeje.?

Text PM hutaki kujibu. Nifanyeje lakini wife to be ?
Mi pia nina moyo.

Nitakupost lini my wife to be?
piga chini kwanini akusumbue kiasi hicho!
 
Ukiona hivyo nayeye ana husband to be mwingine humu sio ww
Huwa nakakumbuka kale kaujumbe ka kungekuwa na kauwezekano ka kumkimbiza umpendae sijui ingekuwaje tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom