Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,527
Yeaaaah unasemajendiye kakuchumbia?
Yeaaaah unasemajendiye kakuchumbia?
Ule uzi unasema mwambie sjui mtu unayempenda i love you kitu kama hicho hunsiku ya kwanza kabisa nakuambia i love you nakumbuka ilikuwa jukwaa hili
ooouh... sisemi neno nauliza tu... nakazia umechumbiwa.Yeaaaah unasemaje
Wakikupiga ban tunaenda wote huwez kuniacha peke yangutena ananiombea na ban kabisa
Hahahhahahhahaha why ukazie sasaooouh... sisemi neno nauliza tu... nakazia umechumbiwa.
ulikuwa wa Vladimir vile??Ule uzi unasema mwambie sjui mtu unayempenda i love you kitu kama hicho hun
absolutely hunWakikupiga ban tunaenda wote huwez kuniacha peke yangu
Hapana bwana skumbuki wa nani nikasema nasubiri kutajwa ukaja ukanambiaulikuwa wa Vladimir vile??
sijui ulikuwaga wapi siku zoteHapana bwana skumbuki wa nani nikasema nasubiri kutajwa ukaja ukanambia
Exactlyhun mwanamke ataachaa na wazazi wake aambatane na mumeweabsolutely hun
if the world is against you, we are against the world swetie
Muda ulikua haujafika mpenz huundio muda wetu tuliopangiwasijui ulikuwaga wapi siku zote
amenMuda ulikua haujafika mpenz huundio muda wetu tuliopangiwa
its time nowExactlyhun mwanamke ataachaa na wazazi wake aambatane na mumewe
Aiseee...Mkuu pambana tu ipo siku atalainika,
Kuna mshkaj wangu ashamfuatilia mdada miaka tisa,yaani huyoo dada aliolewa akaachika na watoto watatu,ndio akamkumbalia mshkaj!
Hakika bae huu ndio muda sahihi kwetuits time now
understandHakika bae huu ndio muda sahihi kwetu