sweet manka
Member
- Nov 8, 2016
- 97
- 182
Copy&paste#post your wife and go#@twitter
Ndio mana nakupendaunderstand
Hahaha,Mkuu mbona unamtisha jamaa,unataka kumpeperushia ndege wake!Afadhali leo umejiraja, maana tangia aliponipa nywila yake huwa naona PM zako pamoja na SMS/MMS.
Sasa naomba nikuonye hapahapa hadharani kama ulivyo amua kujitangaza, kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho kuwasiliana nae....[emoji53] [emoji16]
Mkuu, misimtishi mtu.... Ila ngoja aingie kwenye 18, na hapo ndipo atakapojua kwamba kumbe maharage ni mboga ya serikaliHahaha,Mkuu mbona unamtisha jamaa,unataka kumpeperushia ndege wake!
Hahaha,Mkuu una maneno sana!Mkuu, misimtishi mtu.... Ila ngoja aingie kwenye 18, na hapo ndipo atakapojua kwamba kumbe maharage ni mboga ya serikali
Tena naona anajibebisha kwa kuandika heading kwa lugha ya bepari.... Yaani hapo ndio kwanza ananijeruhi...[emoji180]Hahaha,Mkuu mbona unamtisha jamaa,unataka kumpeperushia ndege wake!
utanikubalia kwanza au unataka tu ukaniabishe kwa shoga zako umenipigakibuti.nasubiri unitongoze ujue..jf si imesharudi lakn
[emoji3] [emoji3] [emoji3]utanikubalia kwanza au unataka tu ukaniabishe kwa shoga zako umenipigakibuti.
kama utanikubalia zege sililazi leo kweli.
Sio maneno mkuu..... Akilazimisha mishuzi, lazima atajinyea tuHahaha,Mkuu una maneno sana!
unaona mambo yako sasa.... niambie basi.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
nikwambie nn we si unazingua kila siku nakwambia nitumie mpesa hutakiii...uniwacheeee [emoji126] [emoji126]unaona mambo yako sasa.... niambie basi.
Bby[emoji3] [emoji3] [emoji3]
bebiiii[emoji8] ..nilijua umebaki Kenya[emoji3] [emoji3]
Bby swez back huko ww n wa muhimubebiiii[emoji8] ..nilijua umebaki Kenya[emoji3] [emoji3]
asante bby..nkajua kunguru wamekuteka.Bby swez back huko ww n wa muhimu
Sana kuliko wale kunguru wa Nairobi
kwaiyo mshikaji wako sasa ivi anaogelea tu bwawaniMkuu pambana tu ipo siku atalainika,
Kuna mshkaj wangu ashamfuatilia mdada miaka tisa,yaani huyoo dada aliolewa akaachika na watoto watatu,ndio akamkumbalia mshkaj!
nikwambie nn we si unazingua kila siku nakwambia nitumie mpesa hutakiii...uniwacheeee [emoji126] [emoji126]