A husband/Life partner

A husband/Life partner

To be honest so far so good! Nawa encourages wadada wasihofie kuitumia JF if at all they mean what they want.

Mrejesho tafadhali, majuma kadhaa yamepita. ....umefanikiwa? Tujuze ili pm zako sijae.....wengine Watafute malisho ya kijani wakiwa na Matumaini kuwa wanaume/wanawake wa hajali zao wapo hapa Jf.
 
Uko makini dada..Mungu anataka kukufundisha kitu,na naona hicho kitu ni maana halisi ya " Christian/Christianity" Mungu akupe neema ya kumjua Yeye Mathayo 6;33...all the best!
 
"Tena hii dhana ya kwamba 'after all I am learned' itoe kwa akili yako kabisa".

Sasa mimi ndiyo nina superiority complex au wanaume watakaoniogopa ndiyo wenye inferiority complex?
Anyway, thanks for sharing your thoughts!

Yote ni moja.
Coz u r learned, u thnk u r more superior than men and 30 ur only doing them a favour by marrying them. As 4 gents, they thnk they don't belong 2 ua calibre or jst feel inferior compared 2 u, MISS INDEPENDENT.
 
kwa Kwel nakupongeza sana, wanawake wa kiafrika wengi hawajipi fursa ya kuchagua wakipendacho. Nakuombea umpate mwenye hvyo vigezo umpime kwenye mizan ya uaminifu mtaishi vizur. Mm binafsi vigezo vimeniweka pemben.
 
Well.. I tried to understand your message and I can say that's your thoughts. No offense my friend!

Yote ni moja.
Coz u r learned, u thnk u r more superior than men and 30 ur only doing them a favour by marrying them. As 4 gents, they thnk they don't belong 2 ua calibre or jst feel inferior compared 2 u, MISS INDEPENDENT.
 
Thank you brethren! Be blessed!

Uko makini dada..Mungu anataka kukufundisha kitu,na naona hicho kitu ni maana halisi ya " Christian/Christianity" Mungu akupe neema ya kumjua Yeye Mathayo 6;33...all the best!
 
Amen! Ubarikiwe sana!

kwa Kwel nakupongeza sana, wanawake wa kiafrika wengi hawajipi fursa ya kuchagua wakipendacho. Nakuombea umpate mwenye hvyo vigezo umpime kwenye mizan ya uaminifu mtaishi vizur. Mm binafsi vigezo vimeniweka pemben.
 
Risenshine, vigezo hivi ndo kwa sasa uko kwa 30's, sipati picha ulipokuwa kwa 20's. Ila all in all vizuri umekuwa so clear mana mim hapo kwa gambe na age ndo nlipotoka. If fortune is mine ntasubiri vigezo vyako ukifika 40's mana as age goes up vigezo go down
 
Though sikidhi baadhi ya vigezo can u do a fovour to me i wish niwe rafikio.
If yes plz niPM.
Looking forward for your response
 
Vigezo haviwezi kukupa mme au mke..,na mara nyingi walioingia ktk ndoa kwa vigezo waliishia njiani na ktk maumivu makubwa..,ktk wawili lzm kuna tabia zishabihiane kwa wawili hao..,
 
You will wait until dawn! Hata Sarai aliposubiri possibly kuna waliompa comments kama zako. Ila Muda wa Mungu ulipofika Isaka alizaliwa. Jifunze kuwaombea wengine mema ili nawe uweze kuvuna mema!Sikukuu njema!

Risenshine, vigezo hivi ndo kwa sasa uko kwa 30's, sipati picha ulipokuwa kwa 20's. Ila all in all vizuri umekuwa so clear mana mim hapo kwa gambe na age ndo nlipotoka. If fortune is mine ntasubiri vigezo vyako ukifika 40's mana as age goes up vigezo go down
 
kama hujampata mwenza na uko serious ni pm ingawa kuna tuvigezo fulani nitatumiss but worry not we will discuss through pm
 
So far so good you are 30+, anyway, anything can happen. But my sister, have you ever thought of being single lady for the rest your life? If I may ask. Lots of requirements, some people make huge money with no single element of higher education na hawana huo mpango wa kujiendeleza, nao hawakufai? After all hata waliopita shule kama wewe lengo lilikua kujiweka sawa kimaisha. Sasa anatafuta nini tena?

If you feel offended am sorry my dear. BTW Best of luck.
 
Post Count: 57
Since: 2015, Nov 16
Other: Member

Following her replies to commentators here, I can bet hamna mwanamke hapa.

Try to be a woman and act as a lady. Find yourself what is wrong in you.
 
post count: 57
since: 2015, nov 16
other: Member

following her replies to commentators here, i can bet hamna mwanamke hapa.

Try to be a woman and act as a lady. Find yourself what is wrong in you.

i told her that. She thought i was out of my mind.
 
Siesabu wingi wa mali nilizo nazo naangalia ni wangapi marafiki wa kweli na wangapi nimewasaidia na wamesaidika.......then nimemaliza.....alafu i am waiting for good things to come
 
No offence my young brother! Those are your opinions! I have the choice to give them weight or otherwise! Nice day!

So far so good you are 30+, anyway, anything can happen. But my sister, have you ever thought of being single lady for the rest your life? If I may ask. Lots of requirements, some people make huge money with no single element of higher education na hawana huo mpango wa kujiendeleza, nao hawakufai? After all hata waliopita shule kama wewe lengo lilikua kujiweka sawa kimaisha. Sasa anatafuta nini tena?

If you feel offended am sorry my dear. BTW Best of luck.
 
Sijui kimekukasirisha nini hivyo rafiki! Perhaps I'm born that way as you have figured me out. But the good thing is there some men out there dying to get this kind of person your talking about! We have diverse interests, likes and wishes! Don't try to influence people to see things through your eyes! Stay cool!

Post Count: 57
Since: 2015, Nov 16
Other: Member

Following her replies to commentators here, I can bet hamna mwanamke hapa.

Try to be a woman and act as a lady. Find yourself what is wrong in you.
 
Back
Top Bottom