Hello dears in here!
Kwanza salamuni wote.
Pili napenda kuipongeza administration yote ya JF kwakuendelea kuendesha forum hii inayowaunganisha wengi nakutoa nafasi yakusikia na kufahamu mawazo na mitazamo ya watanzania wengi. Kwakiasi kikubwa imesaidia ku expose uelewa wa watanzania wengi na hivyo kutoa picha watu wanatofautiana wapi na kwa vipi kimtazamo na kimawazo. Heko kwenu JF runners!
Baada yakusema hayo napenda niende straight kwenye mada yangu ambayo ni kutafutaa my life partner/husband.
Sifa zangu
I?m Christian, God fearing, honest, charming and somewhat reserved.
Ninajitambua I?m determined and focused in life.
My height is around 165cm or a bit higher.
Education level - degree
My age range is between 30 and 34 years
Situmii kilevi wala kuvuta sigara
Rangi yangu maji ya kunde
Sina mtoto wala sikuwahi kuolewa
Umbo siyo mnene wala mwembamba
Sifa za mume ninayemtafuta
Awe mkristo mcha Mungu
Asitumie kilevi au kuvuta sigara
Awe na umri kati ya miaka 35 na 42
Asiwe amewahi kuoa au ku divorce
Awe mrefu kuanzia 167cm and above
Rangi yoyote, kabila lolote ilimradi awe anajitambua, anajiheshimu, anayependa familia, ana sifa zakuwa mume bora na yuko tayari kujenga familia imara.
Awe na Elimu kuanzia degree na kama ni chini ya hapo basi awe na nia yakujiendeleza.
Nadhani mengine tutaelezana tukiwasiliana.
So long he thinks positive and have ambitions then I believe together we can make things happen!
Kwa yule tutakaye match then swala lakupima afya litapewa kipaumbele kabla ya mambo mengine.
NB: Samahani kwa wale watakaochukizwa na vigezo nilivyoweka as I know haviwezi kumfurahisha kila mtu. Ila kwa mwanaume mwenye vigezo hivyo na anayejua thamani ya mke mwema na familia bora anakaribishwa. Sihitaji ushauri wakuniambia niende kanisani or anywhere else as I believe some of the church goers are also found here in JF. Kuna wale mabingwa wakuzungumzia swala la umri kwenda napenda tu niwaambie kuwa sihitaji kukumbushwa kuhusu hilo I believe I deserve the best as I?m the best na umri kwenda kwangu siyo ishu!! Pia inabidi tuwe na uelewa kuwa kuna mazingira au circumstances ambazo zinaweza kukuzuia kukutana na yule unayemtaka. So we need to think positive and stand by each other and not the opposite! Nimeona post nyingi watu wanaotafuta wenza wanapewa majibu makali na yenye kukatisha tamaa na hii inanifanya nijiulize kama mwenye utashi wakutengeneza ID na kupost kitu JF ana mawazo haya then wale walioko kijijini ambao hata hawakuwahi kuona smart phones sijui wangerespond vipi kwa ishu kama hizi. Hebu tuonyeshe maturity natuitumie hii forum ku represent jamii imara yenye maadili, mtazamo chanya na inayojitambua.
You can contact me via PM or send me an email at
mosepaula75@gmail.com. Please contact me only if you?re serious and you really mean it from your inner heart.
Niwatakie wakati mwema wote na kila lililo jema wale wanzangu ambao they are still waiting for their soul mates. May God see you through!