Kumbe bado kuna watu wanaamini kwenye Chama kushika hatamu!.Dear CCM central committee !
Am presenting this to you knowing that you have all powers and resources to heal the nation.
Marry Christmas and happy New year!!
Kaka yangu paskali we may tolerate a second a minute or an inch to CCM but not with the incumbent he is a burden to all of us except his family it is with less cost to oust the man within CCM but not the whole CCM in TanzaniaKumbe bado kuna watu wanaamini kwenye Chama kushika hatamu!.
Nchi hii ni Watanzania, what does CCM have to do with it, wakati CCM ni chama tuukama vyama vingine?.
Haya ndio mambo ya Mbowe kumpigia magoti Magufuli badala ya kusisitiza afuate katiba inasema nini!.
Tutaendelea kuomba kuongozwa kwa hisani mpaka lini?.
P
Mkuu Stupid maana yake ni mjinga. Idiot ndo mpumbavu.Watu wanae akili ya kufanikisha ujumbe
Unajua hii lugha ya kizungu bhana hata mtu akikwambia 'stupid' haitakuwa na uzito sawa na yule atakaekwambia pumbavu.
Yaani hapo ndipo kingereza kinaizidi lugha yetu ya KISWAHILI kwa mbaliiiiii
Nia yako ni kumlaumu na kumdhalilisha mbowe tu!Kumbe bado kuna watu wanaamini kwenye Chama kushika hatamu!.
Nchi hii ni Watanzania, what does CCM have to do with it, wakati CCM ni chama tuukama vyama vingine?.
Haya ndio mambo ya Mbowe kumpigia magoti Magufuli badala ya kusisitiza afuate katiba inasema nini!.
Tutaendelea kuomba kuongozwa kwa hisani mpaka lini?.
P
Oh please!. No!. We have different opinions za how to handle the situation, wengine tunasisitiza haki ya vyama kufanya mikutano ni right sio hisani, Mbowe hakupaswa kupiga magoti kwa Magufuli kuomba huruma, bali alipaswa kumkumbusha rais Magufuli kutekeleza katiba aliyoapa kuilinda.Nia yako ni kumlaumu na kumdhalilisha mbowe tu!
Alafu mwisho nawe unalialia huna suluhu
Kweli tunatofautiana kwenye mtizamo wa mambo, mbowe hakupiga magoti alitaka maridhiano, ili likitokea LA kutokea huko mbele asilaumiweOh please!. No!. We have different opinions za how to handle the situation, wengine tunasisitiza haki ya vyama kufanya mikutano ni right sio hisani, Mbowe hakupaswa kupiga magoti kwa Magufuli kuomba huruma, bali alipaswa kumkumbusha rais Magufuli kutekeleza katiba aliyoapa kuilinda.
Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
Wanabodi, Japo bandiko hili liko addressed kwa Mhe. Zitto, lakini hoja zake ni kwa Wapinzani wote, namuelekezea Zitto Kabwe kwa sababu kwa maoni yangu ndio mpinzani pekee kwa sasa anayeweza kusimama na rais Magufuli 2020, na Magufuli akahisi kijoto joto japo kwa mbali. Ni kwa muda mrefu...www.jamiiforums.com
P
Maridhiano for what?. Begging for your rights ni sawa na baby crying. Tanzania hatuhitaji kufanya siasa kwa hisani ya CCM au kwa hisani ya rais Magufuli!, wanatakiwa kujitokeza wanasiasa jasiri kumlazimisha rais Magufuli afuate katiba na sio kumpigia magoti na kumuomba as if ni hisani au kuomba huruma yake.Kweli tunatofautiana kwenye mtizamo wa mambo, mbowe hakupiga magoti alitaka maridhiano, ili likitokea LA kutokea huko mbele asilaumiwe
Gjarama za kumlazimisha afuate katiba unazijua?Maridhiano for what?. Begging for your rights ni sawa na baby crying. Tanzania hatuhitaji kufanya siasa kwa hisani ya CCM au kwa hisani ya rais Magufuli!, wanatakiwa kujitokeza wanasiasa jasiri kumlazimisha rais Magufuli afuate katiba na sio kumpigia magoti na kumuomba as if ni hisani au kuomba huruma yake.
Why beg for your rights.
P
Hakuna gharama zozote, katiba imeweka kila kitu wazi kuanzia katiba yenyewe, sheria, taratibu na kanuni. Sio favours, sio hisani, sio huruma ni haki.Gjarama za kumlazimisha afuate katiba unazijua?
P. we differ in techniques, approach and tackling during presentation!Oh please!. No!. We have different opinions za how to handle the situation, wengine tunasisitiza haki ya vyama kufanya mikutano ni right sio hisani, Mbowe hakupaswa kupiga magoti kwa Magufuli kuomba huruma, bali alipaswa kumkumbusha rais Magufuli kutekeleza katiba aliyoapa kuilinda.
Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
Wanabodi, Japo bandiko hili liko addressed kwa Mhe. Zitto, lakini hoja zake ni kwa Wapinzani wote, namuelekezea Zitto Kabwe kwa sababu kwa maoni yangu ndio mpinzani pekee kwa sasa anayeweza kusimama na rais Magufuli 2020, na Magufuli akahisi kijoto joto japo kwa mbali. Ni kwa muda mrefu...www.jamiiforums.com
P
Unalaumu sana upande unaoonewa kuliko unaoonea, unakemea sana upande unaoonewa kuliko unavyokemea upande unaoonea,Maridhiano for what?. Begging for your rights ni sawa na baby crying. Tanzania hatuhitaji kufanya siasa kwa hisani ya CCM au kwa hisani ya rais Magufuli!, wanatakiwa kujitokeza wanasiasa jasiri kumlazimisha rais Magufuli afuate katiba na sio kumpigia magoti na kumuomba as if ni hisani au kuomba huruma yake.
Why beg for your rights.
P
Sasa pale usiowapenda wanapotumia haki yao ya kufanya siasa wakajikuta mahabusu unawashauri wafanyeje?Hakuna gharama zozote, katiba imeweka kila kitu wazi kuanzia katiba yenyewe, sheria, taratibu na kanuni. Sio favours, sio hisani, sio huruma ni haki.
P
Literally ni kwamba chama cha siasa Tanzania ni kimoja. Na ndicho kinachopaswa kutoa Rais wa kuongoza nchi. HKumbe bado kuna watu wanaamini kwenye Chama kushika hatamu!.
Nchi hii ni Watanzania, what does CCM have to do with it, wakati CCM ni chama tuukama vyama vingine?.
Haya ndio mambo ya Mbowe kumpigia magoti Magufuli badala ya kusisitiza afuate katiba inasema nini!.
Tutaendelea kuomba kuongozwa kwa hisani mpaka lini?.
P
Kumbe bado kuna watu wanaamini kwenye Chama kushika hatamu!.