Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,034
Sure kabisa... na ionekane kawaida mtu kutembea na kinga kwenye wallet/pochi, maana ukionekana umebeba baadhi wanakufikiria sio.
Yeah..Hii ni kwa wadada pia
Sure kabisa... na ionekane kawaida mtu kutembea na kinga kwenye wallet/pochi, maana ukionekana umebeba baadhi wanakufikiria sio.
Ujumbe maridhawa, nimependa,kuacha kujamiiana kabisa.
Hizo zote porojo.
Njia bora ni kuoana na kutokuwa wazinzi.
Go ask your standard 5 teacher!!
Hizo zote porojo.
Njia bora ni kuoana na kutokuwa wazinzi.
Mkuu Junior. Cux shukran sana kwa mada hii naamini itatukumbusha wengi wajibu wetu na namna ya kujali afya zetu...ila the best option ni kumpata aliye mwaminifu na kumuoa au kuolewa naye.
Hatahivyo nina swali,hivi Condom inazuia ukimwi kweli kwa 100%?
Huu Uzi umeniumiza sana