A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

hivi tuko tanzania au afghanistan? siamini ninayoyasoma hapo juu
 

Nimeuliza swali hili bado sijajibiwa mkuu
 
sawa mtoto wa mkulima na liwalo liwe, naapa kauli na matendo yenu jehanamu inawangoja
 
Hawezi huyu ni sisi wananchi kumuendea pale IKULU kumzaba vibao na kumuacha hoi kama walivyofanya wananchi wa MALI ndio ataondoka
 

Ng'wanambula one saa,ubhange ngika si,aliekuambia dr Ulimboka alikuwa peke yake ni nani,na aliekuambia alikwenda kukutana na watu asiemjua ni nani?fuatilia vizuri upate kuhabarika,
 
nchi hii inaongozwa na watu wa hovyo sana...anyway naamini kuna siku inakuja haya yataeleweka tu....
 
Wakati akipokelewa MOI tayari baadhi ya wanaharakati walishafika eneo lile said:

Yaani siipendi hii serikali na mambo yake yote! kama ndo hivyo inabidi awekewe ulinzi wa 24hrs maana wanaweza kurudi na kummaliza hata huko wodini..
 

JK aliwakejeli kuwa wanatofauti za kisiasa na walijiingiza kwenye mgomo wa madaktari basi aseme sasa. Tumeona kwamba wanaharakati ndo waliomwokoa Ulimboka ila serikali ilitaka kumtoa roho .Hongereni sana akina mama Bisimba ila mtumaini Mungu sana vita ndo imeanza nanyi mtaanza kuwindwa. Demokrasi imewashinda wanahofia kushindwa na wameanza udikteta ila sisi Mungu yuko upande wetu. aluta continua
 
Kama hali ni hii basi wananchi wote wake kwa waume kesho tuanze kukusanyika viwanja vya JANGWANI(TAHIR SQUARE) kuanzia saa 2 asubuhi ili kuilazimisha serikali iliyo madarakani kujiuzuru....Hii ni nchi yetu wote.

mimi simo. maana alipopigwa sheikh wangu mlisherehekea. kumbe tatizo sio la MMOJA?
 
Kwanza kabisa siungi mkono kwa jinsi iwayo yote matumizi ya nguvu kwa mwananchi wa kawaida kama Dr. Ulimboka. Yeyote aliyefanya ama kuruhusu haya kufanywa ni mtovu wa maadili na hapaswi kuwa uraiani - sehemu stahiki anayotakiwa kupelekwa ni segerea ama eneo jingine linalofanana na hilo. Ila bado nina utata kuhusu mazingira aliyokamatiwa Dr. Ulimboka. Walikuwa wanafanya nini kwenye hivi vikao vya usiku alivyokuwa akifanya na wenzake? Je vilikuwa vinahusu nini? Inakuwaje masuala ya mgomo wa madaktari yajadiliwe usiku wa manane kwani kwani yamekuwa uchawi?
 
Mkuu wa emergency dept anazuia gari kwenda kumchukua Daktari mwenzake aliyeokotwa akiwa hajitambui?
Aisee ndiyo maana migomo yenu haifanikiwi wakuu...

kutokutoa magari pengine ni sehemu ya mgomo who knows...
anyway,binafsi naamini ama mkuu wa kaya anahusika moja kwa moja katika hili au kuna watu wamefanya hili wakiwa ni maadui wa CCM na mkuu wa kaya ili kuidhihirisha ile dhana ya udhaifu wa serikali.
lakini katika yote serikali inatakiwa kwanza itoe tamko, pili ihakikishe wahusika wanatiwa nguvuni.
 
Kwa nini Jakaya bwana?! Wa kujiuzulu kwa hili ni Mizengo Pinda kwani yeye ndie aliyetoa public statement pale Muhimbili na hii ya leo bungeni ya LIWALO NA LIWE. mtoto wa mkulima kumbe muuaji, kweli umdhaniaye ndiye kumbe siye!

Nasema mimi kama mimi ningekuwa ni Jakaya basi hapa ndipo pa kuwaaga wa Tz ,na zaidi ikiwa hakuna mkono wake au hakushauriwa katika hili ,nafikiri tusubirini masaa tusikie kauli ya serikali ,hadi sasa TVbado hazijapata hii issue .
 

Acha ujinga sasa hujui kama kapata nafuu baada ya first aid na kuanza kuongea? Au wewe naye ni mmoja wa wanaofuatilia au anapumua? Umeambiwa nafuu hakuna kabisa. Angalia picha zake amekaa mwenyewe acha upuuzi wako.
 

..and In my opinion, Spartacus should be the next to be slaughtered for the benefit of all ....what about that?
 
Nchi sasa inayumbayumba kama mlevi watawala wetu wamelewa mvinyo wa madaraka kwa pesa za walala hoi. fred Katulaunda wakondya mkaruka.
 
Last edited by a moderator:
Anaefuatia ni kiongozi wa chama cha walimu,Mh.Dhaifu kaamua kutumia nguvu!ktk mazingira kama haya Mh.Dhaifu anawajibika kwa hili
 
wanapaswa kutoa huduma hospita ni ulimboka peke yake?hao ambao hawakutoa idhini wenye undugu na magamba wangeenda kutoa huyo huduma.umezuchanga kweli keo.mida ndo hiyo elekea jengo la kijani kamhudumie nape.
 

:msela:SIYO KAULI YA BUSARA:llama:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…