A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

Rwanda na Burundi yalianza hivi hivi, kwa watawala kutaka kuendeleza dhuluma zao na kutawala kwa mabavu. Yaani kutotaka kuambiwa ukweli na kupingwa. Na kwatu laaja!!
 
Mtatizo nimekuheshimu sana kwa kuwa mkweli na kuwa mzalendo kwa kuangalia mambo kitaifa, achana na hapo wapumbavu wanaoleta ushenzi kwenye jambo la msingi. Ni kweli lazima hili swala litutie motisha wa kulete mabadiliko haraka iwezekanavyo. Wanawajua waliowatuma, na sisi tunawajuwa waliowatuma, tafadhal tangazeni tuanze sasa hivi tuko tayari kuliko kuwaruhusu wawatangulize watoto wetu kaburini, tunataka wanaharakati mfungue kesi ya msingi dhidi ya serikali na sisi tuhamasishe watu wahudhurie wakitoka tanzania nzima, na huyo jaji akifanyakama ya mwenzake wa Arusha hapo ndio utakaokua mwanzo wa yote lazima hawa viongozi wakimbie nchi mbwa wakubwa kabisa
 
Mbona inasikitisha sana, kusema kweli hawa watu wanakuwa wanaeleweka uchunguzi wa karibu ufanyike kwa haraka
 
Hizi conclusion ndiO huwa zinachanganya sana,( Ukiuliza source = hakuna) mpaka sasa kuna conclusion zaidi ya 3, we know some people are very good in connecting dots but we should try to be analyitical on this matter,
Unatafuta source hapa Pambaf kwani Leo hujaangalia tv Pambaf tena
 
TBC wameonyesha mwishoni kabisa kama kipengele cha peke yake, na serikali ya ccm inalaani sana kitendo hicho. Dr Nchimbi amesema serikali itafanya kila lililo kwenye uwezo wake kuhakikisha waliohusika wanapatikana.
 
kauli ya serikali dhaifu ''LIWALO NA LIWE'' hii haisaidii kumaliza mgomo.
 
we should try to be analytical bhana, sio ku-connect dots zisizoleta image yoyote, after all taarifa zote hazina reliable sources.at this point we have more that 3 different conclusions mara oh polisi TISS bla bla . Serikali ndio inacheza fouls nyingi za aina hii ILA sio kwa staili hii bhana, ule ni mpango wa kipuuzi hata serikali ya kata flani huko namanyere haiwezi panga hivo.You guys wait you will get to learn about the whole things shotly
 
Tuombee hata akipona awe hajapewa zile dawa zao
 
Jamani tupeane update za maandamano sasa nchi imetangaza hali ya hatari jamani nani atusaidie ss naona ya Libya na Misri yametimia. Unajua hawa watu hawajui Mungu alivyo mkubwa jamani Mungu akitaka kitu kitimie klazima aonyeshe na awasaidie wanyonge kama watoto ambao ni malaika wa Mungu wanakufa kwa njaa na kukosa madawa kama ya malaria wakati raisi wa nchi anaenda safari trip moja tuu tunaweza kununua kifaa kama CT scan shame on dhaifu. Mimi nawaambieni kama anahusika haziishi siku utasikia watu wa ikulu wanavyopuputika kama majani makavu bila hata kuguswa I am telling time will tell. Two days to come you will see what will happen.
 
Acha unafiki,ulimboka kama si mtumishi serikari ndo wamuue?tumia na akili yako.usikubali kuwa mtumwa wa mawazo valisha nguo akili yako.
 
Katika taarifa ya habari mtu aliyekuwa akimtafuta mfululizo kwa siku tatu ni mtu wa Ikulu aitwaye kwa jina moja David na baadaye aliondoka kumfuata huyu David na baadaye akatekwa infront of him. Kwa mwenye akili anajua tu hii ni plan from some where

Mkuu kwa mujibu wa Kijo Bisimba jina ya huyo jamaa ni Abeid ni kweli amesema ni afisa wa Ikulu
 
Siyo Dr.Elisha tu aliyedokeza hilo bali Ulimboka mwenyewe amezungumza kwa taabu na Cloudz na VOA wameirusha. Amesema alikuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na huyo mtu wa ikulu ambaye ndiye aliyetumika kwenye huo mtego wa kumteka.Cha msingi ni kwamba namba yake ya simu inajulikana na naamini data za mazungumzo yake zipo kwenye mtandao husika. Kova asituletee ngonjera za raia mwema kuleta ushahidi,waanze na mitandao ya simu then tutajua kitakachofata. Tanzania naipenda,lakini sichelei kusema CCM kama chama tawala wanaipeleka hii nchi kusiko.
 
Me nalia na Pinda tu"LIWALO NA LIWE" imeniuma sana kwa kitendo walichofanya:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…