A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

Na bado watafuataia na wengine hakuna mtu atakaye ishinda serikali mkono wake ni mrefuuu wewe hapo hata ukikimbilia chooni kwenye nnya(headhunt movie) tunakupata tuu!

Hao wanatumiwa na mabeberu wa kiarabu na masultani kuleta fujo nchini wenzao wenye uzalendo kule Zanzibar wanapata mshahara chini ya mara5 wa huo wanaoupata lakini hawalalamiki

Dawa ni kuwashughulikia tu hawa wanaojaribu kumrudisha sultani
 
That's why some people become martyrs and others snipers, yet others freedom fighters and more other guerrillas. (And the state in turn labels them as TERRORISTS!!!!)
 
Hivi mbona tunakua kama majuha. Nashangaa watu wanasema tamko tamko, Zombe nawenzake walifanya haya wako wapi sasa. Tunangoja tamko gani la Sirikali. Ni sisi wananchi tutoe tamko kwa serikali!
 
that's why some people become martyrs and others snipers, yet others freedom fighters and more other guerrillas. (and the state in turn labels them as terrorists!!!!)

hao ni vibaraka wa masultani na waarabu , pengine ndio uamsho wenyewe ; serikali itawashughulikia vizuri
 
Binafsi, kama nilivyochangia hapo mwanzo ninasikitika sana na hili! Lakini najaribu kujiuliza, wale waliokufa kwa ule mgomo wa kwanza na wa sasa nani anawalilia? wale waliopoteza ndugu zao kwa mgomo wa sasa na ule wa mwanzo watafurahia tena huu mgomo? Nachelea kusema, kama hayajakukuta ni rahisi kusema na kulaumu!
 
Ajitokeze mtu upande wa wanasiasa na wana-ccm atoe hoja za ni kwa nini huduma za afya zisiboreshwe sambamba na maslahi ya watumishi wa sekta hiyo kuboreshwa kama wanavyodai madaktari; kisha na mimi nitapinga kwa kuweka sababu za uungaji wangu mkono wa mgomo wa madaktari II

Kuna watu wanapotosha kwa makusudi suala la mgomo huu. Wanatoa cheap and inconsistent reasons as if madaktari ni wakatili, wabinafsi na vitu kama hivyo. Lakini hawajiulizi uhalali na mazingira ya madai ya hawa madktari. Hawataki kufikiri kuwa kwa huduma hizo mbovu mamia ya watu wanakufa kila kona systematically.

Zomba na wenzako kweli mtakuja juta kukubali kuuza nafsi (human integrety) kwa mlo wa siku chache.
 
Kwanza nashukuru kw huyo dogo aliyechapwa hapo hsp na hii ishu Pinda tumemsoma number what ever goes arround came arround atakuja kwenye kumi nane tu sikumoja........................nani asiye ugua dunia hiiiiiiiiiiii
 
Mlisema serikali ni dhaifu, sasa bila shaka inaonesha makucha yake.
 
Wakati huu wa crisis Jumuiya ya madaktari ilitoa full mandate kwa kamati kuu kuendelea kunegotiate na serikali hivyo Ulimboka alikuwa anatekeleza majukumu aliyopewa na Madaktari. Wakat mwingine it is better to remain silent and let people doubt you instead of talking and letting people clearing their doubt @ Maundumla and Pinda!!!
 
Tatizo langu na wasiwasi wangu ni hapo hospitali, I hope he is safe...wasije wakammalizia bure..them traitors.
 
Ng'wanambula one saa,ubhange ngika si,aliekuambia dr Ulimboka alikuwa peke yake ni nani,na aliekuambia alikwenda kukutana na watu asiemjua ni nani?fuatilia vizuri upate kuhabarika,
Mhola ahene.Nimesema hivyo kwa sababu kuna post humu inaonyesha kuwa alipigiwa simu na mtu asiyemfahamu akaenda peke yake.Sasa inashangaza aliendaje peke yake
 
Ni u.................vu wa serikali hivi inashindwa kuunganisha dots au hata kuelewa logic ya uunganishaji wa dots hizo? Yaani walitegemea watz wako wavivu wa kufikiri kiasi hiki hata washindwe kulink matukio?? Nadhani wanatu-underestmate sana aisee.
 


Nina wasi wasi na usalama wake hadi sasa, kwa sababu wasije wakammalizia.
 
naandika haya kwa hasira na machozi yakinitoka kama kweli yupo mungu wa eliya mungu wa ibrahimu, isaka na yakobo hii serikali inatakiwa kung'oka madarakani kwa nguvu ya umma mapema iwezekanavyo haiwezekani kila sauti itakayonyanyuka kutetea wanyonge wao wanaizimisha. Kwa hili hatuwezi kulikubali hata kidogo. Watanzania kama mtalinyamazia hakika damu ya watu hawa itakuwa juu ya vichwa vyenu na uzao wenu. Yuko wapi captain kombe? Wapi horas kolimba? Sokoine na wengine?
 
This is old communist style(tactics) hivi kweli dunia ya sasa unaweza kufanya vitu kwa staili hii ya kizamani ?huwezi kufunga mtu mdomo kwa kutumia mbinu hii ya kizamani dunia iko macho na mambo hayo ya kibabe ya kizamani hayakubaliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…