Quickly
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,056
- 649
Ukiangalia hilo title utadhani niliutoa kutoka lile mockumentary (fani la documentary) "A day without a Mexican" wa mwaka 2004 lililoangazia umuhimu wa wananchi wa Mexico kwenye uchumi wa Marekani, haswa kwa kazi za mapato madogo k.v. farm workers n.k.
Msingi uchumi wa US ungeathirika pakubwa pasipo hawa Mexicans. Hii aina ya documentary ni mfano wa alternative history ambapo twauliza maswali mazito kuhusu tukio za kihistoria na kutokufanyika yao kungekuweje leo hii.
Kweli hilo title imenipa motisha ya kuwatupia wana JF hii swali. Nipeni mawazo zenu kwa heshima.
Nawasilisha.