Anakula masiha na nyama ya mdudu nusu kilo na ndizi mbili, kisha anasema hapo yupo na wana, wanalamba maisha au wanakula maisha? NA huto tu bia twa watoto wa chuo? Na viji Euro mezani?Maisha ndo haya haya.. Kula maisha
Mimi mkolomije...Zoba ndo mshamba sasa ambae anadhani kila uanemsalimia mna kitu. Mwanaume anaejiamini mbona hamna shida. Maana namsalimia mtu na nakutambulisha kama we ni bwana angu nasema kama rafiki nasema.
Mama wee. Pale sasa ndo tukienda unanikata miguu. Maana nakaaga na kina Mlt na kundi lote lile la mafisi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Wapo wanwake maarufu namna hio, anamjua kila mtu sehemu za starehe. BTW hao 'kila' mtu ni wale 'wenye bar' mfano pale 777 wapo wenye bar yao.
Najua ninachoongea....Mama wee. Pale sasa ndo tukienda unanikata miguu. Maana nakaaga na kina Mlt na kundi lote lile la mafisi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa kwa mfano wale wa 777 nawajua toka muda na ni watu siwezi wakuta sehemu nikawapita kwanza watatuma mtu waniulize "Muambie S kapata bwana anamzuzua mjini anashindwa salimia kaka zake eeh" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo wanwake maarufu namna hio, anamjua kila mtu sehemu za starehe. BTW hao 'kila' mtu ni wale 'wenye bar' mfano pale 777 wapo wenye bar yao.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] rrondo leo umenifurahisha sanaMimi debe tupu.
[emoji3][emoji3]Ni wale waoga/wasiojiamini
Sasa kwa mfano wale wa 777 nawajua toka muda na ni watu siwezi wakuta sehemu nikawapita kwanza watatuma mtu waniulize "Muambie S kapata bwana anamzuzua mjini anashindwa salimia kaka zake eeh" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mbuzi kakaa katikati ya chui mimi mmiliki wa mbuzi nisiwe na wasiwasi![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] rrondo leo umenifurahisha sana
Wapo wanwake maarufu namna hio, anamjua kila mtu sehemu za starehe. BTW hao 'kila' mtu ni wale 'wenye bar' mfano pale 777 wapo wenye bar yao.
Mimi mkolomije...
Mama wee. Pale sasa ndo tukienda unanikata miguu. Maana nakaaga na kina Mlt na kundi lote lile la mafisi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwa mfano wale wa 777 nawajua toka muda na ni watu siwezi wakuta sehemu nikawapita kwanza watatuma mtu waniulize "Muambie S kapata bwana anamzuzua mjini anashindwa salimia kaka zake eeh" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwiiiiiii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti mbuzi kakaa katikati ya chui mimi mmiliki wa mbuzi nisiwe na wasiwasi!
Kwani chui wanaweza kula mbuzi hata kama wameshiba?Eti mbuzi kakaa katikati ya chui mimi mmiliki wa mbuzi nisiwe na wasiwasi!
Hahahahaaa. Umenich3kesha.Ninachoongea.
Wanaweza wasile wakamvuruga tu.Kwani chui wanaweza kula mbuzi hata kama wameshiba?
Hahahahaa. LabdaWanaweza wasile wakamvuruga tu.
Mimi napenda ucheke, uongeze siku.Hahahahaaa. Umenich3kesha.
Sio labda....hata mimi ukileta msosi mzuri hata kama nimeshiba nitaonja tu.Hahahahaa. Labda
MhSio labda....hata mimi ukileta msosi mzuri hata kama nimeshiba nitaonja tu.
Mwenyewe kanichekesha sana leoHahahahaaa. Umenich3kesha.