[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha!!aisee wa kupiga hao wabaya.. mm aliwah nidunda siku 1 nasemaga mm nna mwili mzuri jaman!ila siku ile nilimisbehave !ahaha nilikuwa tungi la smirnof blak ice!anasemaga mbiti mm sitakuja kukupiga tena ntakuua!pyeeeeee
Kisa kakuta no ya simu ya x wangu woiii nilikoma nikasema nisije kuuliwa huyoooo kwenda kwa baba akaniambia oooh sikupokei mpaka barua ya mumeo nikamwambia nimekuja kukupa taarifa tu sasa we sema hivyo huku nauliwa me naondoka nikaondoka zangu mpaka kusuruhishwa na vikao ndio kurudiMi sijui siku ya kupiga hata kibao itakuaje. Sijui yani. Ntamuangushia kilio hatajarihu kunigusa tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha!!aisee wa kupiga hao wabaya.. mm aliwah nidunda siku 1 nasemaga mm nna mwili mzuri jaman!ila siku ile nilimisbehave !ahaha nilikuwa tungi la smirnof blak ice!anasemaga mbiti mm sitakuja kukupiga tena ntakuua!pyeeeeee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Niwahi zangi 777 mie. Kesho nikishindwa kwenda mkoa wa Pwani nitajua kilichomtoa kanga manyoya [emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaah. PoleKisa kakuta no ya simu ya x wangu woiii nilikoma nikasema nisije kuuliwa huyoooo kwenda kwa baba akaniambia oooh sikupokei mpaka barua ya mumeo nikamwambia nimekuja kukupa taarifa tu sasa we sema hivyo huku nauliwa me naondoka nikaondoka zangu mpaka kusuruhishwa na vikao ndio kurudi
Kisa kakuta no ya simu ya x wangu woiii nilikoma nikasema nisije kuuliwa huyoooo kwenda kwa baba akaniambia oooh sikupokei mpaka barua ya mumeo nikamwambia nimekuja kukupa taarifa tu sasa we sema hivyo huku nauliwa me naondoka nikaondoka zangu mpaka kusuruhishwa na vikao ndio kurudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hhahhaa kwann hamdelete namba za ma x wenu!mm jaman siwez ht kuiacha!hhaha pole aisee !ila ding mnoko dah!mie wangu uwiiiii atasema njoo mwananguu !tena kaa hapa tulia !sema haijawah tokea !ile ya kunidunda niliogopa kusema hom!maana mume angenilipua mbiti alikua amelewa!kitu ambach hom ukiwaambia nakunywa watapata polio ya ubongo kbs!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh..same to memarufuku makubwa mm kukaaga na mashost kitaa!akiona huelew anamtafuta mume wa shost mmoja anamweleza mwambie mkeo sitak aongozane na mbiti!mweeeeeeee!
ππππππ!alaf wenyewe sasa uwakute bar...wana marafiki zao km 10 sijui ahwahis km na ss tunapenda kusocialize?Duh..same to me
Kweli natakiwa kukua maana sielewagi kabisa nikisikia mtu kapigana na mwanaume wakehahaha kua uyaone !
Kweli natakiwa kukua maana sielewagi kabisa nikisikia mtu kapigana na mwanaume wake
Asante yaan nishajizoeleaKhaaah. Pole
Yaan ilitokea tu bahati mbaya jamani nikitaka kuchata nae whatsapp naisave nachat nae ndio nilikuaa sijaifutahhahhaa kwann hamdelete namba za ma x wenu!mm jaman siwez ht kuiacha!hhaha pole aisee !ila ding mnoko dah!mie wangu uwiiiii atasema njoo mwananguu !tena kaa hapa tulia !sema haijawah tokea !ile ya kunidunda niliogopa kusema hom!maana mume angenilipua mbiti alikua amelewa!kitu ambach hom ukiwaambia nakunywa watapata polio ya ubongo kbs!
Mwache acheke tu [emoji3][emoji3][emoji3]hahaha kua uyaone !
Duh..same to me
Wanajua mpo jfππππππ!alaf wenyewe sasa uwakute bar...wana marafiki zao km 10 sijui ahwahis km na ss tunapenda kusocialize?
He heKweli natakiwa kukua maana sielewagi kabisa nikisikia mtu kapigana na mwanaume wake
Wabinafsi sana hawa majamaaππππππ!alaf wenyewe sasa uwakute bar...wana marafiki zao km 10 sijui ahwahis km na ss tunapenda kusocialize?
Wanajua mpo jf
Siku huyu akijua ID yangu ya jf nimekwishaaaaaaaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Wanajua mpo jf