A day in the Buddhist college

Great thread mkuu mshana jr mm ni mlutheri pure je! Mm naweza kujifunza japo napata kigugumizi na hizo meditation zinaruhusiwa katika dini yangu sitaki kuuacha ukirsto nataka niongeze maarifa tu
 
Great thread mkuu mshana jr mm ni mlutheri pure je! Mm naweza kujifunza japo napata kigugumizi na hizo meditation zinaruhusiwa katika dini yangu sitaki kuuacha ukirsto nataka niongeze maarifa tu
Unaweza bila shaka ila tu ujue kutenganisha hizi imani mbili
 
Tabia mbaya tu, msituache wenzenu jamani! Niko interested sana na haya mambo hata sijui kwanini! ?
Watu wengine ni wabinafsi sana sijui analeta humu kwa faida ya Nani aisee,niheri angebaki na ujuaji wake kuliko kuleta humu harafu anatucheka tusiojua pathetic
 
Daaah!! hii ni thread ya kwanza ambayo nimesoma kila comment mwanzo mwisho...kiukweli nimebaki njia panda tuu maana sielewi elewi vinavyoongelewa,sometime nakuwa kama napata kinowledge flani hivi lakini sijui ni knowledge ipi,halafu nashangaa navutiwa kuendelea kusoma vitu ambavyo hata sivielewi...may be something happens nafsini mwangu..
mkuu mshana jr hivi mazingaombwe yapo category gani?? nipo interested sana na hii kitu,natamani nijue namna ya kufanya mazingaombwe.
Yaani utadhani unanisema mm yaani sielewi chochote maana mshana Jr anatumia baadhi ya terminology ngumu kumuelewa aisee ila nimesoma kila comment kila Aya
 
Nilikuwa nina uwezo wa kutabiri hatari Neema au chochote, lakini pia niliporudi Tanzania kuna siku nilienda kanisani na wakati naenda kukaa siti za mbele nilikuwa na kitu kama vibration wakati nawapita watu
Lakini pia nimeshasimulia sana hapa JF matukio mengi ya kuibiwa nk na waliofanya hivyo ikala kwao
Mshana Jr unatukusea sana wasomaji wako jitahidi kuelezea vizuri yaani unapapasapapasa tu hadi kero unamaanisha nini unaposema kulikuwa kunatokea vibration ukiingia kanisani??
 
Taiwan Taijong

IMG-20210531-WA0066.jpg
 
Somo tosha, Mshana hongera kwa kujua mengi. Hata kanisa katoliki lina mashirika yenye sheria kali. Naona kama kuutesa mwili hasa hisia. Kuna hatari ya kuzuka ushoga na usagaji.
 
Back
Top Bottom