pablojunior
Senior Member
- Apr 15, 2014
- 159
- 38
naenda mwanza next week.
sina bando nirushie japo buku
nimeku-pm namba yangu..nitafute nikutumie!
Kwa hiyo sasa, huyo Z mpango wake ni nini hasa? Kuolewa na wote?
Kwa nini msichana mmoja ang'ang'anie wanaume wawili? Wenzie waolewe na nani na wanaume tulivyo adimu?
She doesn't deserve it and it is crazy but give her a little while to make her decision if she doesn't tell them both.
Thanks much Khantwe Kichwa ndo mtu Munkari PetCash MankaM Mentor MUSSOLIN xfactoror lin Bulldog @ndaniyabox and all guys kwa advice zenu
Nimefanikiwa kuliweka sawa hili suala la love cycle, washkaji zangu wamenielewa ingawa ilikuwa shida sana.
Huruma yangu imebaki kwa Z sababu she hate me now
Thank you again guys
Ndugu yangu achana na mambo ya wanawake, X na Y ni rafiki zako wa kufa, ndie wanaokusaidia katika shida na raha. Hadi umeenda mwanza inaonesha kuwa hao ni washikaji zako.
Huyo mwanamke ni malaya, atawachanganyaje wanaume wawili? How comes unawapenda wote na mmoja ameshatambulishwa kwao? Hapo kuna mwanaume W yupo kwenye pending list. Hafai kuwa mke wa hata rafiki yako mmoja.
Huwezi jua leo wala kesho, kuna magonjwa tena mabaya, na Z anaweza kuwachanganya marafiki zako mwishowe akaolewa na mtu mwingine kabisa nje ya X na Y.
Cha muhimu kama unaweza wakutanishe X na Y uwaambie ukweli, wao ni watu wazima watajua nini cha kufanya, isitoshe watakuona wa maana sana kwa kuwatoa kwenye mitihani migumu sana.
Usicheze na mwanamke ambae sio ndugu yako, huwezi jua anaweza fanya nini juu ya mapenzi.
Thanks much Khantwe Kichwa ndo mtu Munkari PetCash MankaM Mentor MUSSOLIN xfactoror lin Bulldog @ndaniyabox and all guys kwa advice zenu
Nimefanikiwa kuliweka sawa hili suala la love cycle, washkaji zangu wamenielewa ingawa ilikuwa shida sana.
Huruma yangu imebaki kwa Z sababu she hate me now
Thank you again guys
sasa mkuu Ed n Edd nEddy kombe ndo limeisha hivyo utafanyaje sasa?
Kipindi cha kuelekea uchumba kudate na watu wawili kawaida sanaaa,inategemea aina ya mahusiano, umemuharibia tu dada sun angemsimamisha mgombea mmoja