A crazy story wakati nipo chuo SUA

mkuu umunikumbusha mbali hiyo mitaa, dark city full vibaka, mauki, Kabla ya reli, kwa mama K, unit 1 Hadi 6, kule tabora, plus workers house

Mazimbu turifurahia maisha enzi hizo yupo mc Frans siku ya Pepa au UE
Mi niliishi Unit 6 namba 24,chumba cha mafundi Mazimbu Campus nzima,TV zote Computer zote zilikuwa zinafunguliwa humo.
Frans ujuaji wake wote alishapigwa chini,vyeti feki
 
Mwaka 2015 wakati nipo chuo SUA Mazimbu Campus ilikua majira ya jioni around saa moja siku moja kabla ya UE. Maeneo ya Dark City, Mauki kituo cha daladala kuna sehemu tunakaa kunywa kahawa au tangawizi na karanga. Nimeshakunywa kahawa yangu hapo najiandaa kwenda kupiga msuli wa zima moto. Kuna vijana wanauza kuku pale nikchukua kipaja kimoja pale kisha nikaenda kwa Mangi mmoja hivi anakaanga chipsi nikachukua sahani moja.

Enzi hizo ile mifuko ya plastic bado haijapigwa marufuku. Mangi akanifungia chipsi then nikachukua kile kipande cha kuku nikatumbukiza ndani ya mfuko wa chips. Nikachukua barabara ya kuelekea ghetto kwangu eneo la Makaburini hukohuko Dark City. Mara ghafla naona bodaboda inakuja upande wangu kwa kasi, nikajaribu kuikwepa lakini bahati mbaya ikanigonga kwenye mguu eneo la paja. Bodaboda akaanguka nami nikaanguka. Nashukuru Mungu sikuumia sana zaidi ya maumivu kiasi kwenye mguu na uvimbe baadae, yule dereva nae aliumia kiasi kulikua na wanachuo wengi pale wakataka kumpiga ila akaomba msamaha yakaisha.

Kumbuka mwanzoni nilisema nilikua nimebeba mfuko wa chips ndani yake kuna mfuko wenye kipande cha kuku. Kitu ambacho mpaka leo sielewi ilikuaje wakati naamka kutoka chini nilipoanguka mkononi nilikua nimeshika mfuko wenye kipande cha kuku ule wa chips ulianguka chini. Mpaka leo natafakari ilikuaje nikaweza kudaka mfuko uliokua ndani hali ya kua mfuko ulio nje nilishindwa kuuzuia?​
Tumeshajua wewe umesoma SUA unajingine
 
Bangi uliyovuta ni ya mbegu au majani?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom