A corrupt pdf file; how to open!!??

Resi

Member
Aug 29, 2007
73
17
Wana Jamii, heeeelp!

Nina file langu in PDF ambalo lilivamiwa na virus, nikafanikiwa kuua ile virus using Simantec. In the process the file has become damaged, and I can not open it. Naomba msaada kutoka kwenu; kwenye web kila "msaada" uliopo una strings attached. Buy this first, or buy that first!! Guys I don't HAVE a Credit Card, so I can't buy from them. Pse help.
Desperate.
 
Ilo file kama lilikuwa kwenye flash tafuta Program moja inaitwa Recover my file.
Kama unaweza Shy anaweza kuwa nayo hiyo wasiliana nae mtaelewana kisha una recover files zako unazi copy kwenye hard disc.
simple like that.
 
UNA MAANISHA UNAWEZA KULIONA LAKINI HUWEZI KULIFUNGUA ? AU UNALIONA LAKINI HUWEZI KULIFUNGUA ? HIVYO NI VITU VIWILI TOFAUTI

KUNA PROGRAMU INAITWA ONTRACK EASY RECOVERY PROFESIONAL INA OPTION YA PDF FILE REPAIR NA FILE ZOTE ZA OFFICE

Buy this first, or buy that first!! Guys I don't HAVE a Credit Card, so I can't buy from them. Pse help

UNAWEZA KUTAJA NI PROGRAMU GANI IMEANDIKA HIVYO ? INAWEZEKANA UNATUMIA PROGRAMU AMBAYO NI TRIAL -- TAFUTA AMBAYO SIO TRIAL AU LICENCE YA HIYO PROGRAMU UTAWEZA KUITUMIA UZURI
 
Resi, kama information kwenye file hilo haziko overly sensitive, pls Zip and send it to my profile hotmail address. Nami nitajaribu, nikishindwa basi nitakuwa nimejaribu mkuu. Naomba uni pm email address yako kwanza ili niiunganishe, otherwise itaenda kwenye junk na kuwa deleted automatically. Take care.

SteveD.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom