A confused president and a constitutional crisis!

A confused president and a constitutional crisis!

Ni kweli mkuu! Lakini hatuwezi kuwa na katiba inayotegemea mainly utashi wa mtu! Sababu za kuwa na katiba ya aina hiyo kwanza zilishapitwa na wakati! Huyu rais wa sasa ndo ametuamsha Zaidi kufahamu umuhimu wa kuwa na uongozi unaofuata katiba ya nchi.

Kwa mujibu wa mapendekezo ya tume ya katiba mpya, madaraka makubwa kwa mtu mmoja au taasisi moja bila udhibiti mahususi wa jinsi ya kutumia madaraka hayo, nchi inaweza ikajikuta iko kwenye utawala wa mtu mmoja (Personal rule). Mwanahistoria wa zamani wa Uingereza, Lord Acton aliwahi kusema kuwa "Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely. Great men are almost always bad men."

Shukrani kwa ufafanuzi kiongozi!
 
I don't even know where to begin.

Rais tuliyenaye ni janga haeleweki. Na mambo anayofanya, mengi yanavunja katiba ambayo aliapa kuilinda na kuitetea kwa nguvu zake zote!

Kwanza katiba inakataa ubaguzi wa kila aina.

Kwa mujibu wa katiba yetu, ibara inayoelezea kuhusu haki za binadamu, pia inaelezea kuhusu kupinga ubaguzi.

Tafsiri iliyotolewa kwenye katiba kuhusu ubaguzi...

""Kubagua" kama katiba ilivyoainisha, maana yake ni kutizama utashi, haki au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia maoni yao ya kisiasa, kabila, dini, hali yao katika jamii nk. Kwa namna ambayo watu wa aina flani, wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni, na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti, au wanapewa fursa, au faida iliyo nje ya masharti au sifa za lazima"

Ni wazi rais anafahamu fika anachofanya kuwa ni ubaguzi. Ameamuwa tu kutokujali. Pengine madaraka makubwa yamemfanya kuwa more arrogant. Obama alisema juzi kati hapa kuwa hata yeye aliona ni kwa jinsi gani madaraka yalivyo hatari. Na kutegemea na akili ya mtu, wengi hulewa madaraka na kufanya wanachotaka na kuwa bullies!

Mambo kadhaa yaliyonifanya nikaamini kuwa rahisi jiwe anafanya makusudi kabisa na kuharibu taifa letu. Mfano aliwahi kutoa ahadi kuwa atapeleka maendeleo bila kujali sehemu hiyo wamechaguwa mtu mwenye mrengo gani wa kisiasa ama chama gani...Lakini pia matendo yake ni tofauti na wateule wake wanamsaidia kufikisha ujumbe wa kibaguzi kuwa wananchi wasipochagua watu wa ccm hawataepelekewa shghuli za kimaendeleo. Imesababisha hata viongozi wengine(mbali na kuhongwa), wakahamia kule kwenye more priveledges. Ni Imani yangu kuwa mwananchi yoyote yule anastahili kulindwa na katiba kwa mujibu wa katiba hiyo!

Ni wazi kabisa kuwa katiba inakataza ubaguzi hata wa kisiasa, lakini tunasikia kuwa wananchi wakiambiwa kuwa hawatapelekewa maendeleo kwasababu ya misimamo yao ya kisiasa. Huo ni ubaguzi. Katiba haiheshimiwi na ndiyo maana hakuna mwenye kupiga kelele. Wote wanamsikiliza jiwe tu. Utawala wa kisheria umewekwa kapuni.

Kama rahisi hayuko confused, kwanini atoe kauli kanganyifu? Pia matendo na meneno yake mengi yanaonyesha ubaguzi wa wazi kabisa.

Mtu mwenye busara akipata urais, hawezi kuongoza nchi kwa style kama hii! Wananchi wamefikia mahali ambapo wanachukiana wenyewe kwa wenyewe, na wakati tunafahamu kiongozi mzuri ni yule anayewaleta wananchi pamoja kufanya kazi kwa lengo moja na na kwa manufaa ya taifa lao!

Hivi majuzi tu, kuna kauli ya kiongozi wa ccm...

"Mbunge wa CCM akikwambia ataleta maendeleo amini hilo maana Serikali iliyopo madarakani ni ya CCM" - Kheri James "

"Watu wa Tandale mkichagua kishabiki, hamumkomoi Mtu bali mnajikomoa wenyewe. Msipoichagua CCM hamuikomoi bali mnajikomoa wenyewe. Maamuzi ya nani anakufaa yabaki kuwa yako usiruhusu kuwapa nafasi Watu kukuchagulia. Ukilala na njaa, ukitembea kwenye barabara mbovu, ukikosa huduma bora za kijamii ni wewe pekee utakayeteseka." - Kheri James "

Ninasema kama katiba haitapewa kipaumbele kuliko hata vyama vya siasa, basi tutambuwe kuwa taifa letu siyo tu kwamba litabaki hapa lilipo bila maendeleo ya maana, bali litadidimia kabisa na haitashangaza kuona kuna mataifa yatakayotamani kututawala!

Misingi yote imewekwa na katiba! Na katiba imekataza ubaguzi wa aina zote pale serikali inapodeal na wananchi wake, iwe kupeleka maendeleo kwa wananchi wake, au hata kuwapa huduma muhimu za kijamii kama maji, barabara, umeme nk. Serikali inataka tuone kama vile ni msaada inatupatia au priveledge! Kumbe ni haki kwa mujibu wa katiba ya nchi. Na ni shghuli zinazotokana na kodi za wananchi wote bila kujali misimamo yao ya kisiasa!

Katiba mpya ni muhimu sana kupita maelezo, wananchi walio wengi bado hawajui umuhimu wake kwasababu maisha yao yote wako chini ya minyororo ya maamuzi na utashi wa watu badala ya sheria na katiba ya nchi! Tutakuja kujutia jinsi ambavyo tulipoteza muda bila ya madai ya katiba mpya kwa nguvu zetu zote!

Ni muhimu tujenge taifa jipya lenye watu wenye kujielewa ili baadaye tupate viongozi bora ambao ni matunda bora ya katiba bora! Na reflection ya wananchi wanaojielewa.

Tunatakiwa tuwapime viongozi wetu kwa mujibu wa katba na siyo majina mara sijui oooh mimi jiwe! Inasaidia nini? Unaongoza wanyama au ndege? Tunataka nchi yenye kuongozwa na katiba, period!
I think its you who is comfused
 
Mfano nchi ya wenzetu marekani, hakuna hata anayejuwa katiba za vyama vyao kama ilivyo kwetu! Ni katiba ya nchi kwanza! PERIOD! Kwetu watnanchi katiba za vyama kwanza, the katiba ya Taifa, halafu tunataka watu wawe wazalendo kwa Taifa badala ya vyma? It doesnt work like that!

The national constitution trumps all other constitutions, be it parties or whatever! Wanaofahamu katiba za either Republicans au Democrats ni wachache sana tena pengine viongozi ndo wengi wao wenye kuzifahamu.

Lakini katiba ya nchi ndo namba moja, na ndiyo inayotolewa reference all the time na wananchi na viongozi popte pale kunapokuwa na mgogoro au kutokuelewana.

Policies ama sera za vyama ziko, utofauti kati ya sera za chama kimoja na kingine kuhusina na mustakabali wa taifa ni kama almost non existence!

Ila katiba mtu yoyote anafahamu hata kama siyo yote, atakuwa anafahamu haki zake(bills of rights), na kamwe hatokubali kunyanyaswa au kupokwa haki zake za kikatiba hata kama ikiwa ni raisi wa nchi anataka kufanya hivyo!

Hatutaweza kuwa taifa la watu waluiostaarabika bila kuwa taifa la katiba.
Katiba ipo wananchi wanelewa haki zao na kujua katiba ya chama chako ni muhimu kwani democracy inaanza kwenye chama
 
Katiba ipo wananchi wanelewa haki zao na kujua katiba ya chama chako ni muhimu kwani democracy inaanza kwenye chama
There we go again! Katiba ya nchi ndo namba moja! Lasivyo nchi inaweza kuendeshwa na kundi la kigaidi au kundi lisilo na nia njema kwa Taifa bali Matumbo yao kama inavyoonekana since uhuru.

Zile nchi zote ambazo huwa mnazitaja kuwa ni vinara wa demokrasia, mfano USA, wananchi wake wanafahamu katiba ya nchi na siyo za vyama!

Kwamfano marekani, karibia kila mwananchi anafahamu katiba, especially kwenye bills of right. Ukimuuliza atakutajia karibia zote kama siyo zote
1st Amendment
Right to the freedom, religion, speech, assembly, and press and allowed to petition the government.


2nd Amendment
Right to keep and bear arms (for lawful purposes) and the right to form a militia.

3rd Amendment
Protection from quartering soldiers


4th Amendment
Protection from unreasonable search and seizure
5th Amendment
Guarantee to due process, double jeopardy, self-incrimination, eminent domain. Cannot be charged twice for the same offense.

6th Amendment
Trial by jury and rights of the accused; Confrontation Clause, speedy trial, public trial, right to counsel and right to a lawyer

7th Amendment
Right to a jury trial in federal civil court cases.

8th Amendment
Guarantees that punishments will be fair and not cruel, and that extraordinary fines will not be set.

9th Amendment
Simply a statement that other rights aside from those listed may exist, and just because they are not listed doesn't mean they can be violated.

10 Amendment
Says that any power not granted to the federal government belongs to the states. (Power reserved to the states).

Hizo ni first ten amendments AKA bills of rights! Sijawahi kukutana na mmarekani ambaye hazifahamu! Kuhusu ya chama wala sijawahi kujaribu kumuuliza mtu kwasababu hakuna anayejali hayo! Taifa kwanza, PERIOD!

Sasa wewe unafahamu nini zaidi ya kusubiri uambiwe cha kufanya?
 
I think its you who is comfused
Learn how to speak and write properly first then come back.

Then when you’re back, explain to me whatever it is you’re trying to say.
 
We umeona ni ndefu! pengine hujui kusoma au ni mvivu, typical Tanganyika product. Halafu unajiita Sambeke, I know those guys, hakuna fala na ndezi kama wewe anayeitwa Sambeke.

Soma paragragh ya kwanza kuhusiana na katiba kupinga ubaguzi hata wa kisiasa, siyo tu ubaguzi wa kabila, dini na rangi... Kwani wabongo wengi mnapenda kusoma bsi?
Hilo ni taifa lililojaa wajinga na wafu umeandika madini sana ila nisikufiche huko uliko ni taifa la wajinga na kutoka katika hiyo minyororo ni zaidi ya miaka 100 kutoka sasa
 
Hilo ni taifa lililojaa wajinga na wafu umeandika madini sana ila nisikufiche huko uliko ni taifa la wajinga na kutoka katika hiyo minyororo ni zaidi ya miaka 100 kutoka sasa
I agree, wanajifanya wanafahamu haki zao. Naskia kuna wabunge wawili kama sikosei ama viongozi wa chadema wamekamatwa kwa sababu ya kuvaa t-shirts zinazosema "Pray for Lissu". Kwasababu amri imetoka juu!

Hawafahamu maana ya utawala wa katiba hawa watu!
 
Hilo ni taifa lililojaa wajinga na wafu umeandika madini sana ila nisikufiche huko uliko ni taifa la wajinga na kutoka katika hiyo minyororo ni zaidi ya miaka 100 kutoka sasa
Mkuu ni kweli kuwa katiba yetu bado ni ya kikoloni, na kwahiyo siwezi kusgangazwa na wakoloni weusi. Katiba inampa rais mamlaka ya kubagua akiona inafaa. Katiba inakataza ubaguzi, lakini hapohapo, inasema kuwa rais anaruhusiwa kufanya hivyo kwasababu ambazo hata hivyo hazijatajwa ama kuwekwa wazi. Kwahiyo rais anaweza tu kusema huyu ni msaliti na katiba ikamlinda kumbagua huyo anayemuita msaliti.

Halafu nashangazwa sana na upinzani kwasababu hawapiganii katiba mpya, au na wao wanataka kuja kuwa kama hawa ccm? Waje wafanye everything kama hawa ccm?
 
Back
Top Bottom