Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,267
Tunahitaji sacrifice kuweza kufika. We can not depend on these mere politicos to take us anywhere. We need people who are ready to die for the mass. Until then lets just stay putMatumbo yanatutesa sana hapa duniani, na tukifa ndio ya kwanza kuoza, Lakini tutafika tu iwe kwa Panga ama kwa shoka.
Hii kesi imekaa vibaya sana sana walahi!Nyani Ngabu
Bila shaka unafahamu karibu viongozi wote wa juu wa CDM wana kesi inawakabili mahakamani ikihusishwa na mauaji ya binti yulee.
Ukishajua kinachotafutwa hapo mengine huitaji kusimuliwa.
RipTunahitaji sacrifice kuweza kufika. We can not depend on this mere politucos to take us anywhere. We need people who are ready to die for the mass. Until then lets just stay put
Ok, nimekuelewa, umetumia lugha hiyo ili kwamba Wanachama tulio wengi tusielewe tukaumia roho?
You and your fellow cronies are enjoying killing and maiming your adversaries as if you have perpetual presence on earth.No one has pretended immortality.
Nataka nikuambie Mbowe ameifikisha chadema sehemu nzuri tu toka kusikojulikana, lakini alikuwa amezungukwa na watu ambao alishauriana nao vema.Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpatieni tu, CDM bila huyu Mbowe ingekua imekufa toka zamani.
Pamoja na madhaifu yake meengi lakini amegoma kununuliwa na upande wa pili.
I salute him
You and your fellow cronies are enjoying killing and maiming your adversaries as if you have perpetual presence on earth.
Time will tellYou are delusional.
Time will tell
Upinzani wa laana huu ufe tu.Tulipo sasa ni matokeo ya watanzania na wala hatupaswi kumlaumu MBOWE wala MREMA.
..ccm wakitukana wanaachwa.
..cdm wakitukana wanakamatwa.
..vyama hivi viachwe vipambane kwa hoja na polisi na dola wasiingilie humo.
..wewe umeona demokrasia gani iliyostaarabika maandamano ya kiongozi mkuu wa upinzani yakasambaratishwa kwa risasi za moto kama inavyotokea hapa Tz?
..mpaka ifikie kiongozi wa upinzani analazimika kuandamana kwa kudai haki zake serkalini na kwa chama tawala ujue kuna tatizo kubwa sana la kiuelewa na kimtizamo kwa hao anaowalalamikia.
..Wabunge wa upinzani wanafungwa kwa kesi za kisiasa. Hivi kwenye nchi za wenzetu waliostaarabika Peter Lijualikali angefungwa na kutumikishwa kwa kazi ngumu?
..Hoja yangu ni DOLA needs to change kulingana na mazingira mapya ya mfumo wa vyama vingi.
..Tutendeane HAKI. Is that too much to ask?
NB.
..Majaji Wakuu Wastaafu wanasema mbele ya Raisi HAKI ITENDEKE. Unadhani yale ni mambo wanazusha tu? Raisi gani mwingine wa Tz umewahi kusikia anaambiwa atende HAKI?
Cc Richard
Sijaelewa chochote lughau ina nipa taabu ngoja ni kupe like raisi wa wabeba box hujawahi kuniangushaAll is not well within CHADEMA.
There is a crisis. A major one, at that. It's a leadership crisis.
This crisis, in my opinion, has reached critical mass and something/ someone's gotta give before it's way too late.
A fish rots from the head down. Now it's time for CHADEMA to cut the head off in order to salvage whatever is left of it.
So I'm calling on the rank-and-file members of the party, if they care enough about the future of their party, to depose its leadership in a palace coup.
They can go about it nonviolently through methods like civil disobedience and the like.
Mbowe must go. It's been long overdue. Under him, the party has plateaued. Some might even say it's getting weaker and weaker by the day.
The party badly needs some new blood with new ideas and ways of doing things.
But that begins with getting rid of its longtime chairman, one Freeman Mbowe.
Make CHADEMA great again!
Sijaelewa chochote lughau ina nipa taabu ngoja ni kupe like raisi wa wabeba box hujawahi kuniangusha