A Broken Heart Can Really Kill You! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A Broken Heart Can Really Kill You!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by XIII, Sep 26, 2012.

 1. X

  XIII Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  A new report claims that a broken heart is a medical syndrome that can be as lethal as a heart attack or a stroke.


  Most people have watched a relative or friend pass away not long after the death of a loved one, as if their grief became too great a burden to bear.


  Johns Hopkins University School of Medicine researcher Dr. Ilan Wittstein alleges that sudden emotional stress, such as a breakup, a sudden shock, the death of a loved one or even a car accident can produce physiological changes that... Read MORE »
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mmmmh si kweli, mine is beyond repairs mbona natesa mpaka leo?
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Labda ishapona bila ww kujua. Umebakia na psychological phobia MadameX
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
   
 5. X

  XIII Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kwel umependa... ni kwel waweza kufa atii...
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Ni kweli aisee. Nilikuwa na best friend wangu...alikuwa last born...mama yake alikuwa anampenda mpaka anaongea maneno ya kukufuru.

  Siku huyo rafiki yangu alipokufa mama yake alikuwa kama chizi...alikaa mwaka mmoja tu nae akafa. Yani mama yule alikuwa analia utadhani hakuwa na watoto wengine. R.I.P.

  Nadhani kilichochangia ni kuwa na stress wakati alikuwa ni mnene saaana. BP ikawa inapanda aishuki.

  Kwa hiyo broken hearts ziko za aina nyingi si za lovers tu.
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kitu inayofanya wengina kukubaliana ama kukataliana na hoja ya a 'Broken Heart can kill you' ni ile the way kila mmoja anaangalia personal experience. Na kama ali survive anakataa kata kata, hali kuna mwingine atakubali aidha sababu alishawahi pitia ama kumuona mwathirika.

  Hii sana ni hatari kwa mtu mwenye weak heart and psych... Hawezi himili vishindo vya kumkosa mtu ambae anampenda. Kuna wengine hawafi, ila wanakuwa tu kama gofu katika jamii, yeye yupo ni mzima but with a dead soul, na kuna wengine hata hasubiri imuue taratibu kwa njia ya nature; anaona tu bora ajimalize kwa kujiua... Sad.
   
 8. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yawezekana kabisa!
   
 9. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Inaweza kuwa na ukweli ndani yake. Kumwona na kumkuta baba yangu amefariki kwa ajali ya gari eneo la ajali umbali mdogo karibu na nyumbani kulinichanganya/kumenichanganya sana. Ilikuwa ni maiti ya kwanza naigusa,kuitikisa,kuiongelesha,kupiga kelele huku nikilia sana kwa kuchanganyikiwa nikiwazia bado alikuwa hai au nimsaidie kuokoa uhai wake, miaka 5 sasa imekata ila haipiti siku bila kukumbuka lile tukio..hile tukio limeniathiri sana japo bado nipo hai!!
   
 10. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Da pole sana BJ, kuna matukio mengine ambayo huwa sio rahisi kuyasahau, hilo la kwako likiwa ni moja wapo. Ila kwa vyovyote vile piga moyo konde...and life goes on!.
   
 11. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Thanks Yego!! haya maisha tunapitia mengi, furaha na huzuni. Ni kweli siwezi kusahau kabisa, mpaka nilipofika namshukuru Mungu na pia support ya familia nzima maana vinginevyo sijui ingekuwaje...Such is life!!
   
 12. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0  Pole sana belinda,Thats the way of life. we just have to accept the reality and get relief.
   
Loading...