A Brief History of corruption: 1997 - The Beginning

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
Najaribu kutengeneza "historia fupi ya mafisadi" (A Brief History on Corrupt Officials".. Na nimechagua kuanzia 1997 (there is a reason for that).

Najua wachache walikuwa nani:

Ningependa hasa kujua Baraza la Mawaziri la Mkapa lilikuwa na nani, hususan Ulinzi, Nishati na Madini, Biashara, Uchumi n.k

Halafu vyombo vikuu vya dola vilikuwa vinaongozwa na nani: JWTZ, Polisi, Usalama wa Taifa
 
Good Mkuu; Mwenye Data azirushe kwa MM tupate mambo mapya;

You are very smart sir and very focused creative
 
Kwa mfano, nani alikuwa Waziri wa Nishati na Madini 1997, na nani alikuwa Waziri wa Ulinzi na JKT.. things like that..
 
Mkuu MKJJ hii ni bonge la step nakupongeza sana. Ikibidi hawa mafisadi watungiwe kitabu kabisa ili wakae wakijua wataendelea kusomwa kwa generations na generations kwa ufisadi wao kama hii leo tunavyomsoma chifu Mangungo na ufisadi wake kwa Karl Peters.

Kwa 1997
JWTZ - Gen. R. Mboma
Usalama - C. A. Mwang'onda
Polisi - O. Mahita

Mawaziri waliowahi kuwepo
Fedha/Uchumi (1995-2005)- Prof. Mbilinyi, Daniel yona, Mramba,....
Nishati Madini(1995-2005)- Dr . A. kigoda, E. M-Majogo, Daniel yona,.....
Viwanda/biashara(1995-2005)- Dr. A kigoda, Iddi simba,dr. Ngasongwa.....
Ulinzi(1995-2005)- E. M-Majogo, Prof. P. Sarungi,...
 
Najaribu kutengeneza "historia fupi ya mafisadi" (A Brief History on Corrupt Officials".. Na nimechagua kuanzia 1997 (there is a reason for that).

Najua wachache walikuwa nani:

Ningependa hasa kujua Baraza la Mawaziri la Mkapa lilikuwa na nani, hususan Ulinzi, Nishati na Madini, Biashara, Uchumi n.k

Halafu vyombo vikuu vya dola vilikuwa vinaongozwa na nani: JWTZ, Polisi, Usalama wa Taifa

Medical symptoms of paranoia.
 
Ungeanzia na mzizi wa Rushwa. Rushwa ilianza tangu tulipopata Uhuru. Rushwa ilianza kusababishwa na bureaucracies iliyokuwepo Serikalini.
 
Hatujali historia, rekodi, elimu. Inawezekana nchi nzima hakuna anaejua mabaraza ya mawaziri ya marais wote kutoka Desember 1961, si wanazuoni, si waandishi wa habari, si wana historia.

By the way, mtu anaweza kuandika kuhusu "historia ya mafisadi" kama hawajui ni kina nani?
 
Ukirudi nyuma sana itabidi urudi hata enzi za ukoloni. Nina hakika mizizi ya rushwa serikalini ilipandikizwa enzi hizo. Bureaucracies zote tumerithi kutoka kwa mkoloni.
 
Mkoloni hakuwa na ufisadi alikuwa na nidhamu kubwa ya kazi na hakuwa mbabaishaji hata kidogo. Ubabaishaji huu na ufisadi tumeuingiza kutoka sehemu nyingine. Hatukuutoa kwa mjerumani wala muingereza.
 
Ufisadi upi?
 
Harage,
Hata mkoloni alikuwa corrupt. Tofauti ni kwamba enzi zake the rule of law ilifanya kazi sana dhidi ya Waafrika. Kuna mwalimu mmoja kwenye shule ya middle school (Mwafrika) alihukumiwa kifungo miaka miwili jela kwa kuiba fedha za shule. Pia kuna headmaster mmoja ( Mzungu) ambaye alitumia fedha zilizotolewa na serikali kwa shule ya misheni kujinunulia gari wakati huo akisema ni mali ya shule lakini alipoondoka kurudi kwao Australia he shipped the car with him.
 
Hatujali historia, rekodi, elimu. Inawezekana nchi nzima hakuna anaejua mabaraza ya mawaziri ya marais wote kutoka Desember 1961, si wanazuoni, si waandishi wa habari, si wana historia.

By the way, mtu anaweza kuandika kuhusu "historia ya mafisadi" kama hawajui ni kina nani?

duh mkuu...unadhani mtu ni library? Hii ndo sababu ya kuwa na vitabu na kumbukumbu. Sasa wewe unalaumu watu kutojua vitu vilivyo kwenye kumbukumbu. If i need to know them, narudi kwenye vitabu na kujifunza au kujikumbusha...au sio?
 
Najaribu kutengeneza "historia fupi ya mafisadi" (A Brief History on Corrupt Officials".. Na nimechagua kuanzia 1997 (there is a reason for that).

Najua wachache walikuwa nani:

Ningependa hasa kujua Baraza la Mawaziri la Mkapa lilikuwa na nani, hususan Ulinzi, Nishati na Madini, Biashara, Uchumi n.k

Halafu vyombo vikuu vya dola vilikuwa vinaongozwa na nani: JWTZ, Polisi, Usalama wa Taifa
Mwaka 1997 Tume iliyoundwa na Raisi Makapa kuchunguza Rushwa ilitoa Ripoti yake, na mwaka huo mawaziri kadhaa walipoteza nyadhifa zao; akina Dr. Ngasongwa, n.k.
 
Hatujali historia, rekodi, elimu. Inawezekana nchi nzima hakuna anaejua mabaraza ya mawaziri ya marais wote kutoka Desember 1961, si wanazuoni, si waandishi wa habari, si wana historia.

By the way, mtu anaweza kuandika kuhusu "historia ya mafisadi" kama hawajui ni kina nani?
Dilunga,
This is about research and documentation knowledge. In research knowledge about the methodology through which to conduct it, is what matters most, not the stuff. Mwanakijiji is right! Probably in contrast to your question, if something is known (including the methodology), why should one bother (duplicate) conducting the research?
Karagaho.
 
Mwaka 1997 Tume iliyoundwa na Raisi Makapa kuchunguza Rushwa ilitoa Ripoti yake, na mwaka huo mawaziri kadhaa walipoteza nyadhifa zao; akina Dr. Ngasongwa, n.k.

Wakuu kuna mtu yeyote aliyewahii kuiona ripoti ya jaji Warioba,je tunaweza kuipata humu jamvini? maana inaelekea hii imefichwa sana.
 
Back
Top Bottom