secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,387
- 28,808
Fayaaa 🔥, watawala hawana raha muda huu.Aloooh ni noma na nusu
Fayaaa 🔥, watawala hawana raha muda huu.Aloooh ni noma na nusu
Tarehe 6 mwezi wa 12 wote watarejea isipokuwa wale tuliowwpoteza siku ya uchaguzi 😭.
Duuuh kuna members tuliwapoteza kumbee daaah 😭😭Tarehe 6 mwezi wa 12 wote watarejea isipokuwa wale tuliowwpoteza siku ya uchaguzi 😭.
Harmful Al-mukheef min -me nawasubiri.
Ndiyo mkuu 😭.Duuuh kuna members tuliwapoteza kumbee daaah 😭😭
Amina🙏Ndiyo mkuu 😭.
Wawekwe pema.
🙏Amina🙏
Hilo tu daddy 🥰Limeisha hilo sema lingine.
Hahahah..... Zile zilikuwa ni hadaa tu
Samia na Genge lake bila "damu kutoka masikioni" hiyo taarifa ya "taifa la Kesho" ni hadaa tu na ulaghai mwingi kama ilivyo kawaida yake..
Hiyo ya "kushtakia" achana nayo.Sisi tutamshitakia kwa mungu wetu tunayemjua
Tuendelee kusoma visomo vyetu ili parapanda ilie na bendera nusu mlingoti iweze kupandishwa mapema kabla Mwaka huu haujaisha
Majonzi tu 🥹Tarehe 6 mwezi wa 12 wote watarejea isipokuwa wale tuliowwpoteza siku ya uchaguzi 😭.
Harmful Al-mukheef min -me nawasubiri.
Sana aisee!Majonzi tu 🥹
Nipo 💯💯💯