¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤99%

jaman hakuna spare za mbavu atii, nimecheka sana, big up wakuu endeleeni kutuburudisha mtabarikiwa
 
JAY Z;Mchungaji,mbwa wangu kafa,je inawezekana mkamsomea misa ya mazishi. .............C'mon mlete inawezekana kabisa.
....yesu na maria..........inawesekana kabisa aisee!
 
Ndio maana limsela(YUDA) likamuuza Yesu...aliona kama hatendewi haki..
Alafu lingine,ina maana Yesu alikuwa hajui kwamba Yuda anavuta Bhangi
 
Ndio maana limsela(YUDA) likamuuza Yesu...aliona kama hatendewi haki..
Alafu lingine,ina maana Yesu alikuwa hajui kwamba Yuda anavuta Bhangi
Mi mwenyewe nilikuwa sijui!
 

Umekunywa nini leo nzee!!
 
>>>Wanafunzi watatu wa chuo fulani badala ya kujiandaa na test walienda ku-party maeneo fulani usiku kucha.Siku ya test ilipofika kwa sababu hawakusoma wakaamua wabuni mbinu ya kujitetea.Walijipaka oil na grease mikononi na miguuni na nguoni kisha wakaenda kumwambia profesa kwamba gari yao ilipata pancha hivyo walihangaika na gari usiku kucha na hapakuwa na usafiri mwingine.Jamaa wakamwomba prof awatungie paper yao siku nyingine kwa sababu hawakujiandaa.Prof alikubali,akawapa siku 3 za maandalizi.Ilipofika siku ya paper,prof aliwagawa kila mmoja na chumba chake.Mtihani ulikuwa na maswali mawili tu. [1]Jina lako ni nani? [2]Tairi lipi lilipasuka? (a)mbele kushoto, (b)mbele kulia (c)nyuma kushoto (d)nyuma kulia.
 
Wanawake wamefumaniana.
MWANAMKE 1: Unajiona mwanamke hasa!?

MWANAMKE 2: Kumbe je! Mumeo angenitaka?

MWANAMKE 1: Basi ngoja nimchukue mumeo, shemeji yako, kaka yako, hadi mkweo ndio ujue mimi ni nani!
 
mume:hivi unauhakika mimi ndio mwanaume wa kwanza kulala na wewe.mke:ndio hao wengine waliotangulia ilikuwa ni shughuri tu hakuna kulala hadi asubuh.
 
Reactions: BAK
dah........ ila yuda alikuwa opposite sana
 
Hahahahaaa!!
mume:hivi unauhakika mimi ndio mwanaume wa kwanza kulala na wewe.mke:ndio hao wengine waliotangulia ilikuwa ni shughuri tu hakuna kulala hadi asubuh.
 
Yuda alikuwa mchaga yule....alona deal akachangamkia fasta.
 
>>>Baada ya lift kuharibika,jamaa watatu wakaamua kupanda hadi ghorofa ya 100 kwa kutumia ngazi.Ili wasiboreke,jamaa mmoja akaanza kuwapa wenzie stori inayohusu vita mpaka wakafika ghorofa ya 50.Jamaa mwingine akaunga na stori ya comedy mpaka ghorofa ya 99.Jamaa wa mwisho naye akamalizia kwa stori moja ya kusikitisha,aliwaambia wenzake kwamba amesahau funguo za chumba wanachotaka kwenda.
 
>>>Na kwa taarifa yako,mwanaume kwa siku anaongea wastani wa maneno 2000 na wanawake kwa siku huongea wastani wa maneno 7000.source:kisa na mkasa BBC.
 
tehe, tehe, tehe, teh, teeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,uuuuuuuuuuuuuuuuuuu....ha, ha, ha,ha,haaaaaaaa, wacha ncheke mie......
jaguar upo juuuu.......................................
 

swali a tatu lilipasukia mtaa gani ama sehemu gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…