¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤99%

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Kabla ya kupanda kilimani kwa ajili ya sala,yesu aliwaambia mitume wake wabebe jiwe moja moja kisha wapande nalo mpaka juu kilimani.Mitume walibeba mawe ya ukubwa mbali mbali isipokuwa Yuda.Yuda alibeba jiwe dogo ukubwa wa punje ya harage.Baada ya maombi,Yesu akayabadili yale mawe kuwa mikate na kila mtume akala mkate unaoendana na ukubwa wa jiwe alilobeba.
 
Siku ya pili tena,Yesu akawaambia mitume wake wabebe jiwe moja moja.Mitume wote walifanya walivyoambiwa na wakawahi juu kilimani kwa ajili ya sala.Wakati wakiendelea na sala,Yuda alikuwa busy akihangaika kulipandisha kilimani bonge la jiwe.Hatimae yuda alifika kilimani akiwa na jiwe lake kubwa kajichokea balaa.Baada ya Sala Yesu akawaambia mitume wayatupe yale mawe chini kwani kuna mikate ilishanunuliwa.
 
JAY Z;Mchungaji,mbwa wangu kafa,je inawezekana mkamsomea misa ya mazishi hapa kanisani? MCHUNGAJI;Haiwezekani,labda uende kanisa lile kule bondeni. JAY Z;Nina pesa kidogo,unadhani nikiwalipa $1000000 watakubali kumsomea misa?. MCHUNGAJI;Eeer..aam..,kwanini hukusema toka mwanzo mbwa wako ni mkristo tumsomee misa hapa hapa?C'mon mlete inawezekana kabisa.
 
Kwa hiyo bifu la Yuda na Yesu ni la kitambo eeh!!
 
BINTI;Baba nina mimba. BABA;Nitajie ni nani huyo kakujaza mimba nikamcharange mapanga sasa hivi! BINTI;Justin Bieber! BABA;Okay mwanangu usijali,kama ni Justin Bieber basi huna mimba!,kuwa na amani.
 
MMAREKANI;Kwetu Marekani tukila mikate,yale mabaki huwa tunaya-pack kisha tunawatumia wa-Jamaica wanakula. MJAMAICA;Kwetu Jamaica,yale mabaki ya kondomu huwa tunatengeneza Big G kisha tunazi-export kwenda Marekani.
 
No no hapana hapana think outside the box.Kuna kitu kinaitwa Xfiles.Yuda hana ubaya wowote kwenye imani kwani hasingefanya hivyo NENO HASINGETIMIA even Jesus we dc.
Tatizo la kukalili hilo .
 
No no hapana hapana think outside the box.Kuna kitu kinaitwa Xfiles.Yuda hana ubaya wowote kwenye imani kwani hasingefanya hivyo NENO HASINGETIMIA even Jesus we dc.
Tatizo la kukalili hilo .
I'm afraid Yuda is your real name,natania tu mkuu.
 
Msanii wa bongofleva aitwae KINYAIYA a.k.a KINYA akijitambulisha kwa mashabiki jukwaani;"Oya ni KINYA hapa,inakuwaje?". MASHABIKI;Pumbavu,utazoa mwenyewe! MSANII;Oya hamjanisoma vizuri wakuu. MASHABIKI;Kwani wewe ni kitabu?hebu tutolee use*ge wako hapa!
 
Dah Judah amekutana na msala ile mbaya
 
(MKE);Mume wangu,unajua huyu mzee Juma simuelewi? (MUME);Kwanini my wife? (MKE);Nimemkuta pale njiapanda anamtongoza binti yetu subira. (MUME);Khaa!amechokoza vita,lazima nitembee na mkewe!
 
kaka Jaguar unatisha kwny hii fani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…