99.9% ya mashemeji wanagongana sana

99.9% ya mashemeji wanagongana sana

Inategemea huyo mwanamke au mwanaume umemuokota wapi

Mwanaume/mwanamke timamu hawezi kulala na ndugu wa damu wa mume/mkewe.

Ni watu wajing wajinga wakuokoteza walioshindikana huko mnawaweka ndani ndo wanakuja kutia aibu ukoo....

Kuna wanaume/wanawake wangapi duniani mpk uje utembee na mdogo wa mkeo ili hali unajua hawa ni tumbo moja
Hata kama kuna watu wengi duniani anyekuvutia ni yule uliyeko karibu naye,bila kujali kama kazaliwa pamoja na mwenzi wako.
 
Inategemea huyo mwanamke au mwanaume umemuokota wapi

Mwanaume/mwanamke timamu hawezi kulala na ndugu wa damu wa mume/mkewe.

Ni watu wajing wajinga wakuokoteza walioshindikana huko mnawaweka ndani ndo wanakuja kutia aibu ukoo....

Kuna wanaume/wanawake wangapi duniani mpk uje utembee na mdogo wa mkeo ili hali unajua hawa ni tumbo moja
Halaf hao unaowaona wanajiheshim ndo wanaliwa kimasihara kweli....[emoji23],

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom